Namuogopa X wangu

Asante mkuu.
Nitafanya hivyo.

Wala sio kama hajamove on au bado ananipenda.Hata hanipendi ni mchokozi tu.Anapenda kunichokoza
 
Hiv mwanamke asipokua submissive solution yake ni nini?
 
Kwa kweli sitaki kumpenda mana nitakufa na stress tu.Upendo nilompa unatosha na bahati nzuri au mbaya hata hakuuthamini.
Viashiria vibaya vipo na ndo mana sitaki mawasiliano nae nisijelia kilio huko mbele.
Kwa sasa my goal ni kuishi maisha yangu yaliyobaki Stressfree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…