Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kama humpendi na humuitaji tena kwenye maisha yako usijali chochote kumhusu.
Ukiona bado unapata hali ya kujali chochote kumhusu jua fika bado unampenda, yajengeni kupendana kuna raha sana. Inapendeza sana kuona wawili wakipendana.