Namuogopa X wangu

Namuogopa X wangu

Hiv mwanamke asipokua submissive solution yake ni nini?
Pengine ndio hulka yake.

Wanawake wengi haswa ambao hawajasoma, hawana ajira wala kipato au hata familia za kuwapa back up kiasi dunia yao inapoanzia na Kuishia hutegemea mwanaume. Hawa huwa extremely submissive kimaslahi hadi pale watapopata wa kuwapa nafuu zaidi mfano mwanaume aliye na pesa zaidi au anaempa treatment bora hata kama hana kipato kikubwa

Hawa wengine wanaoweza kujitegemea ni ngumu kuwa submissive na kama katokea familia au jamii ambazo zinamkuza mwanamke kuwa financially independent mfano wahaya, wachagga, chugga, wanyakyusa etc hawa kiasili kuwa submissive kama watoto wa pwani ni ngumu hivyo wanahitaji wanaume wenye kauli thabiti, waliowazidi vingi na watata kiasi ili kuendana...

Ila bottom line sometimes mwanamke asiye submissive kwako anaweza kuwa submissive kwa mwingine.. Hivyo mwanaume anaweza changia pia kwa kuonesha udhaifu
 
Kama humpendi na humuitaji tena kwenye maisha yako usijali kuhusu chochote kumhusu.

Ukiona bado unapata hali ya kujali chochote kumhusu jua fika bado unampenda, yajengeni kupendana kuna raha sana. Inapendeza sana kuona wawili wakipendana.
Mimi simjali kwa chochote mkuu ila yeye ndo akiona nimetulia na maisha yangu anaanza kunichokoza na text au au simu.
Mwanzoni alikua akipiga au kitext nilikua natafsiri kuwa kanimiss bado ananipenda.na kwa vile na mimi nilimpenda nikawa nampa ushirikiano baada ya muda unagundua hajarudi kwa upendo wala hayuko serious ni uchokozi tu anafurahia kuona ukiwa emotionally disturbed
 
Back
Top Bottom