Namuokoaje rafiki yangu ambaye ni Mwalimu Kijijini, michezo ya wabaya usiku inamnyima raha

Hayo ni mambo madogo mnoo hata kwa mtu mwenye imani yake ya kawaida kabisaaa ku deal.
Kuna mambo mazito bwana hayo sio mbona.Hayo hata mjini tu wengine tumekutana nayo.
Kuna wale wa visiwan huk mwanza walishawah kuripotiwa wanaingiliwa kimwil kabisa na wachawi wakati wa usiku.
Au sometimes wanakuta vinyesi kitandani..umelala na underwear unaamka mtupu!!acha kabisaaa ...nikahis yatakua matukio kama haya.

Ushauri.
Fanya mpango wahame.Honga ikibidi kwa wadau wa halmashauri hapo wawape ruhusa.
 

[emoji28][emoji28][emoji28]mwenyekiti umefika.
 
Mkuu the weekend cheki pm yako tafadhali
 
Pale karibu na Kazima Sec au
 
Mkoa X na kijiji fulani ndio wapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtaalamu
 
Kwani Kitoabu anasemaje kwenye hii issue?
 
Ampokee YESU kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha. Ni YESU tu ndiye kiboko ya wachawi. BIBLIA inasema "Hapana uchawi wala uganga juu ya Yakobo".
Wewe huyo[emoji23][emoji23]
 
Mkuu the weekend.... Japo apunguze codes za mkoa husika apate msaada.
 
Kuna uzi humu jamaa anaeleza kinga ya uchawi nazani inaitwa LUPATU inapatikana hapo Mozambique mkoa wa cap delagoa kwa maelezo ya yule mwamba hao watapukutika wote na hali itakua shwari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…