Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Upo seriously au unatangaza biashara?Kuna fundi mmoja hatari yuko tabora kama itakupendeza nitakuunganisha awasaidie hao walimu, na hata wenye matatizo makazini, mapenzi, biashara na magonjwa huyo mwamba ni moto wa lipread mbali, anafanya mambo leo kesho unaona matokeo,pia hana blah blah wa kuchangachanga chale which is old school.wengi wamesaidiwa humu ila wanapiga kimya hawasemi ili na wengine wapate msaada.
Unamhongaje Katibu tawala?wanahongwa wa chini yake njaà Kali ili wakamshawoshi Katibu tawalaSimshauri kuhonga, juzi kuna ticha katiwa ndani Tabora alimhonga 90000 katibu tawala ili ahamie Tabora mjini kutoka kijijini
Kwaiyo wanaotakiwa wamuombe Mungu Ni wale wasio na dhambi kabisa...yaani hawajawai kumkosea Muumba?Maombi kwa kumaanisha ndio nn mkuu..
Maombi ya mwnye dhambi ni kelele mbele za Mungu.
Sasa ahame afu nani apelekwe huko?
Imekuwa bahati mbaya sana kwa sasa siko Bongo lakini imani na simulizi kama hizi huwa zinanivutia sana. Zinanivutia kwa sababu huwa napenda kuhakikisha mwenyewe hizo nguvu za uchawi live. Ningekuwa karibu sasa hivi ningeomba tuwasiliane ili uniungashe na hao waathirika ili nipate kwenda (kwa gharama zangu) mpaka wanapoishi niwaombe waniachie hiyo nyumba kwa muda hata wa mwezi nilale ndani ili nijionee mwenyewe. Au hata kama watakubali niishi nao sina tatizo ila nia yangu ni kuona tu kama hizi imani zina ukweli wowote. Hata kama nitawapa kifuta machozi niko tayari. Siku nikirudi kama bado tatizo lipo naomba sana mnipe hiyo chance.Rafiki yangu ni mwalimu katika kijiji fulani huko ndani ndani sana mkoa X.
Sasa hicho kijiji kumekuwa na uchawi sana mpaka kero.
Rafiki yangu pamoja na walimu wenzake baadhi hupatwa ma vituko usiku kitu ambacho huleta msongo wa mawazo.
Vibweka hivi ni kama.
1. Sufuria zenye vyakula kukutwa tupu asubuhi ilhali jana zilikuwa na chakula.
2. Kuhisi mtu ama watu kutembea ndani ya nyumba
3. Vishindo mithiri ya watu kukimbizana kwenye dari
4. Mchanga kumwaga kwenye bati
5. Mawe kurushwa kwenye bati.
6. Baadhi ya walimu kuamka miguu ikiwa na vumbi na kadhalika
Sasa anaomba ushauri anawezaje kupata uhamisho
Msha Jr on the beat [emoji443][emoji444][emoji443]Amwage chumvi ya mabonge na ndimu kuzunguka nyumba yake ndani na nje na kwenye kila kona aweke kipande cha ndimu kilichochomwa tooth pick ..hii ni pamoja na juu ya mlango
Juu darini kwenye ceiling board kwa ndani atupie mifupa ya mkuu wa meza na akilala ageuze nguo nje ndani au nyuma mbele
Mpeleke kwa psychiatrist yeye ndo ana matatizo, Sio masihara ni science iyo.Rafiki yangu ni mwalimu katika kijiji fulani huko ndani ndani sana mkoa X.
Sasa hicho kijiji kumekuwa na uchawi sana mpaka kero.
Rafiki yangu pamoja na walimu wenzake baadhi hupatwa ma vituko usiku kitu ambacho huleta msongo wa mawazo.
Vibweka hivi ni kama.
1. Sufuria zenye vyakula kukutwa tupu asubuhi ilhali jana zilikuwa na chakula.
2. Kuhisi mtu ama watu kutembea ndani ya nyumba
3. Vishindo mithiri ya watu kukimbizana kwenye dari
4. Mchanga kumwaga kwenye bati
5. Mawe kurushwa kwenye bati.
6. Baadhi ya walimu kuamka miguu ikiwa na vumbi na kadhalika
Sasa anaomba ushauri anawezaje kupata uhamisho
Naunga mkono kabisa izo delusion zote ni ugumu wa maisha tu.Economic hardship leads to depression resulting to think you are bein bewitched
Kuna sehemu hazipendi kbs elimu.Rafiki yangu ni mwalimu katika kijiji fulani huko ndani ndani sana mkoa X.
Sasa hicho kijiji kumekuwa na uchawi sana mpaka kero.
Rafiki yangu pamoja na walimu wenzake baadhi hupatwa ma vituko usiku kitu ambacho huleta msongo wa mawazo.
Vibweka hivi ni kama.
1. Sufuria zenye vyakula kukutwa tupu asubuhi ilhali jana zilikuwa na chakula.
2. Kuhisi mtu ama watu kutembea ndani ya nyumba
3. Vishindo mithiri ya watu kukimbizana kwenye dari
4. Mchanga kumwaga kwenye bati
5. Mawe kurushwa kwenye bati.
6. Baadhi ya walimu kuamka miguu ikiwa na vumbi na kadhalika
Sasa anaomba ushauri anawezaje kupata uhamisho
Nitangaze biashara? Bahati nzuri huwa anakupa option ulipe kabla au baadaye, kama unawasiwasi mwambie utalipa bdae mambo ukishayaonaMkuu Upo seriously au unatangaza biashara?
Aisee we kweli 'MACHO MDILIKO'Imekuwa bahati mbaya sana kwa sasa siko Bongo lakini imani na simulizi kama hizi huwa zinanivutia sana. Zinanivutia kwa sababu huwa napenda kuhakikisha mwenyewe hizo nguvu za uchawi live. Ningekuwa karibu sasa hivi ningeomba tuwasiliane ili uniungashe na hao waathirika ili nipate kwenda (kwa gharama zangu) mpaka wanapoishi niwaombe waniachie hiyo nyumba kwa muda hata wa mwezi nilale ndani ili nijionee mwenyewe. Au hata kama watakubali niishi nao sina tatizo ila nia yangu ni kuona tu kama hizi imani zina ukweli wowote. Hata kama nitawapa kifuta machozi niko tayari. Siku nikirudi kama bado tatizo lipo naomba sana mnipe hiyo chance.
Kabisa,ajitahidi kusali,ikibidi afunge maombi ya siku mbili kavu bila kula Wala kunywa chochote.Je, amejaribu kusali kwa kumaanisha? tatizo sio kubwa sana mbele ya Mungu endapo akilipeleka mbele za Mungu kwa maombi.....