Namuomba Mungu Yanga wafungwe,tuone kama watajitoa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001



Kwa kuwa Mtibwa nayo ni timu ina Mungu
Kwa kuwa refa naye ni binadam aanaweza kupitiwa

Namuomba Mungu afanye jambo kesho, Yanga wapigwe, halafu refa akosee awanyime goli la ofside.Halafu tuone huu upuuzi wanaoongea viongozi wa Yanga.

Timu ya maana hawana wanalilia kombe?
 
Mmeanza kupotosha, kwani kasema wakifungwa au wakionewa?
 
Mwakalebela hajasema hivyo kabisa,alisema wao wanaweza kujitoa kwenye ligi iwapo hapatakuwa na fair play
 
Yanga ndio wenye mpira wa nchi hii Kama ukafikiri utani uliza kombe la Muungano lili ishia wapi na kwa nini halipo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…