Namuomba Mungu Yanga wafungwe,tuone kama watajitoa

Namuomba Mungu Yanga wafungwe,tuone kama watajitoa

Mwakalebela anapoteza weredi kwenye soka.
Waliaminisha mashabiki wao kuwa watabeba ndoo mwaka huu lkn ghafla upepo Umegeuka na wakiangalia mnyama anakuja kasi ya 5g na Kuna dalili mnyama kushinda mechi zake zote za viporo na kuongoza ligi na hakutakuwa na dalili ya kutema ubingwa.

Kiufupi mafanikio ya Simba nje na ndani yamewavuruga sana. Wamepoteza mwelekeo.
 
View attachment 1706382

Kwa kuwa Mtibwa nayo ni timu ina Mungu
Kwa kuwa refa naye ni binadam aanaweza kupitiwa

Namuomba Mungu afanye jambo kesho, Yanga wapigwe, halafu refa akosee awanyime goli la ofside.Halafu tuone huu upuuzi wanaoongea viongozi wa Yanga.

Timu ya maana hawana wanalilia kombe?
Sio wafungwe wanyimwe penalt na watoke Sare tuwao e

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Round ya kwanza Yanga walitumia nguvu nyingi kwenye mechi zao wakasahau mzigo utakata na Round ya pili ndio timu huwa zinakuwa ngumu sana
 
Ligi ya muungano iliisha baada ya Zanzibar kuruhusiwa na CAF kuingiza vilabu vyao kwenye mashindano ya klabu bingwa Afrika na kombe la shirikisho moja kwa moja hivyo kukawa hakuna haja tena ya ligi ya muungano ili kupata wawakilishi wataokwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano hayo ya CAF,usilete uongo wako na kujimwambafy

Sasa Dodo wenyewe kazaliwa Mwaka 2000 atajuaje kuhusu historia ya Kombe la Muungano na kwanini lilianzishwa.
 
Ligi ya muungano iliisha baada ya Zanzibar kuruhusiwa na CAF kuingiza vilabu vyao kwenye mashindano ya klabu bingwa Afrika na kombe la shirikisho moja kwa moja hivyo kukawa hakuna haja tena ya ligi ya muungano ili kupata wawakilishi wataokwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano hayo ya CAF,usilete uongo wako na kujimwambafy
Hivi Cecafa ya Musonye ipo wapi sikuhizi
 
Back
Top Bottom