Namuomba Mungu Yanga wafungwe,tuone kama watajitoa

Mwakalebela anapoteza weredi kwenye soka.
Waliaminisha mashabiki wao kuwa watabeba ndoo mwaka huu lkn ghafla upepo Umegeuka na wakiangalia mnyama anakuja kasi ya 5g na Kuna dalili mnyama kushinda mechi zake zote za viporo na kuongoza ligi na hakutakuwa na dalili ya kutema ubingwa.

Kiufupi mafanikio ya Simba nje na ndani yamewavuruga sana. Wamepoteza mwelekeo.
 
Sio wafungwe wanyimwe penalt na watoke Sare tuwao e

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Round ya kwanza Yanga walitumia nguvu nyingi kwenye mechi zao wakasahau mzigo utakata na Round ya pili ndio timu huwa zinakuwa ngumu sana
 

Sasa Dodo wenyewe kazaliwa Mwaka 2000 atajuaje kuhusu historia ya Kombe la Muungano na kwanini lilianzishwa.
 
wanavyolalamika utafikiri wenyewe hawajawi kushinda kwa makosa hayo hayo ya marefa. Nimewadharau sana Utopolo.
Hakuna Team Hapo
Hilo Ni Genge La Wahuni Wachache
 
Reactions: 7ve
Hivi Cecafa ya Musonye ipo wapi sikuhizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…