Wasibadili tu aidiii mkuu, tutawakumbusha.Maji yakisha mwagika hayazoleki, nategemea na Magufuli akistaafu mtamuomba radhi, kawaida yenu
Magufuli aombwe radhi? sidhaniMaji yakisha mwagika hayazoleki, nategemea na Magufuli akistaafu mtamuomba radhi, kawaida yenu
Huyu ambae mlikua mnamsema kuwa Safari hazimuishi? Huyu mliokua mnamsema kuwa ni mpole kupitiliza? Basi hta Magufuli ipo siku mtakuja kumuomba radhi akija Rais mwingineHuyu ni kiongozi bora kabisa kuwahi kutokea.
Sio yule mchunga ng'ombe Mshamba na limbukeniHuyu ni kiongozi bora kabisa kuwahi kutokea.