thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,270
- 9,116
Vyeti fake au ngada?,umerudi nyuma haswa,ukome kirangaAisee kwa Magu hapana, sidhani kama nitathubutu kumkumbuka huyu mzee! Jamaa ana roho mbaya mno!
Vyeti fake au ngada?,umerudi nyuma haswa,ukome kirangaAisee kwa Magu hapana, sidhani kama nitathubutu kumkumbuka huyu mzee! Jamaa ana roho mbaya mno!
HATA YEYE HUKU TUMESHAMSAHAU. TUNAMKUMBUKA LISSU TU KWAMBA AMETWAMBIA UHURU NA KAZI, NA SIY ETI KAZI TU! KWANI SISI PUNDA?Magufuli ni rais wa Dar Dodoma na Huko Chato lakini mikoa mingine tupotupo tu! Kwanza tumeshasahaulika kama ni Watanzania
Huyu kakosa teuzi tu awamu hii.. Hana lolote.Majuto ni mjukuu ..
Huyu ambae mlikua mnamsema kuwa Safari hazimuishi? Huyu mliokua mnamsema kuwa ni mpole kupitiliza? Basi hta Magufuli ipo siku mtakuja kumuomba radhi akija Rais mwingine
Kikwete upo Humu na wewe pia 🤣😂Ok nimekusamehee
Awamu wa ya JK ndio awamu ambayo Magufuli huwa anasema watanzania tumechezewa na kuibiwa sana au huwa anaongelea awamu ipi tofauti na ya Kikwete ?Huyu ni kiongozi bora kabisa kuwahi kutokea.
Nikukumbuka wakati anatibiwa prostate alidhalilishwa sana raisi legelegeWasibadili tu aidiii mkuu, tutawakumbusha.
Kati ya marais waliokula matusi hapa JF ni JK.
Kila kiongozi ana mapungufu yake, kama binadamu tulivyo. Hatutakuja kupata Rais Mungu, kwamba awe mkamilifu kila idara.
Yeye ajaye atawabatiza Kwa Moto sio majiKumetokea nini pande hizo[emoji15]
Unataka kusema mkuu umebatizwa kwa Moto [emoji15][emoji2]Yeye ajaye atawabatiza Kwa Moto sio maji
Daaah ha ha haaaaaaBora nikaombe radhi hata ng'ombe
Acheni kumsikiliza huyu Kilaza na mchumia tumbo (TumainiEl).Hakupita kwenye kura za maoni!ndo maana anamponda Mzee Magu kiaina.Huyu akili yake haina tofauti na Musiba,Habibu Mchange, Katambi na the like.Mhe. Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne binafsi nakuomba Radhi leo kwa yote nilikuwazia au hata kukusema kiukweli at that time nilikuwa na Moto wa ujana na sikujuwa uzee wako ni hekima.
Nikiwa kama Raia wakawaida kabisa niliwahi kukuandikia baruwa na nikalalamika sana juu ya upole wako na democrasia ilio pitiliza.
Mungu sio athumani umemaliza muda wako nikaona utawala Ambao kiukweli ulinipa visible niliitaka Ola mara vaible nikaja gunduwa nacheza mziki gerezani na ninaye mfurahia anaumia kumbe na mimi kesho zamu yangu. Kiukweli fumbo hili limenifanya kuja hapa nakukuomba Radhi kweli nisamehe naomba Radhi Kwa niaba yangu na watanzania wengine walio waza kama mimi.
Kumbe yapo maisha badala ya vitu kumbe furaha yetu haipo katika vitu au majengo ila furaha yetu ipo katika upendo, Amani na Uhuru katika Taifa letu.
Naiangalia Libya nchi ambayo watu wake walipata kila kitu ila wakazibwa midomo jambo lililo tokea linatisha Sana. Naweza nakukumbuka Kuwa leo tunawakumbuka viongoz wetu sio Kwa vitu ila upendo na Amani walituachia. Wewe ni moja ya viongozi hakika ulitupa vaible ya democrasia na hakika hatuwezi kukusahau kamwe.
Nitawasimulia wanangu yote nimeyaona na hakika yapo mema mengi nimejifunza najuwa ipo siku Taifa hili litakuwa na Kikwete day siku ambayo watu watacheza na kufurahi kuhadhimisha miaka kumi ya utawala wako.
Naweza Sana nakumbuka sana mambo maneno yako ambayo mpaka leo yananisumbuwa kichwa.
Maneno mazito ya Kwanza uliyatoa kwenye hotuba ya Kwanza katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania nani nanukuu. "Tusifanye mambo ambayo watoto wetu watachukua fimbo nakuyachapa Makaburi yetu nakuuliza hawa walikuwa na akili?" Mwisho wakunukuu.
Nukuu ya mwisho na inayonifanya kuamini ulikuwa nabii ipo katika Bunge la katiba Nani na nukuu. "Hii katiba ina MPA nguvu kubwa Rais hata mimi sijazitumia ila atakuja MTU hii itawasumbuwa "kipindi kile tulikudharau nakukukejeli ila Nabii hakubaliki nyumbani Mbio umezimaliza na sisi tutakuwa mashuhuda wako.
Mola akupe maisha marefu tujifunze kwako. Amen
Wewe ni Mungumtu?Kama ameshiriki kuwadhulumu masheikh wa uhamsho hakuna msamaha wowote ataoupata hapa duniani na akhera.