Namuomba Radhi Mzee Jakaya Kikwete

Namuomba Radhi Mzee Jakaya Kikwete

Kama ameshiriki kuwadhulumu masheikh wa uhamsho hakuna msamaha wowote ataoupata hapa duniani na akhera.
 
Hapo ndo unaonyesha upumbau wenu mkiwa ndo mna barehe mnafanya mambo bika kuuliza bongo zenu,
Wakati una ona upole wa kikwete na ukataka ukali, ulizani ni akina nani watahusika kupata ukali huo?

Ulidhani ukali huo utawalenga wengine ukuache wewe? Ni upumbavu mtupu kuomba kazi ya jeshi alafu utegemee kuzeeka bila kufa kwa vita.

Lazima ujue unaenda jeshi lakini lolote laweza kutokea kutokana na kazi yako. Kufa kabla ya uzee au ufike uzee bila kufa kwa kazi ya jeshi.
 
Yanayofanyika sasa ni marekebisho ya uharibifu uliofanyika awamu iliyopita, kati ya uharibifu huo ni uovu kuvalishwa vazi la uhalali, akili ya watu ilihalalisha mambo mabaya kuwa mazuri. Wizi, madawa ya kulevya, zinaa, matusi, ubinafsi, utegemezi nk kama una akili inayofahamu tulikotoka, tulipo sasa na tunakokwenda huwezi kumbuka zama za uovu ukalinganisha na sasa..fanya kazi!
Loud and clear ,correct 100%
 
Maji yakisha mwagika hayazoleki, nategemea na Magufuli akistaafu mtamuomba radhi, kawaida yenu

Yaani kabisa tumuombe radhi dikteta uchwara!!! Kwa lipi hasa! Yeye ndiye anayestahili kuwaomba radhi Watanzania kwa madudu mengi aliyoyafanya ndani ya miaka yake hii mitano aliyo hudumu.
 
Kwani katiba mpya ilipatikana?!

Hiyo dhambi ya kuhujumu katiba iliyopendekezwa na Watu, itamsulubu Jakaya mpaka mwisho wa uhai wake!! Alitenda dhambi kubwa Sana kwani ile katiba ingepatikana , mambo ya kijinga yanayofanywa na Jiwe ya kujifanyia mambo kama vile nchi hii ni nyumba yake yasingetokea!!
 
Bado, baaado watanzania hawajaelewa ushenzi wa awamu hii, yapo mengi yamefichika polepole watu wataelewa na mtamwoba Kikwete kama mtakatifu. Ona jinsi uchaguzi huu ulivyojaa uhuni pamoja na watawala kuwaziba midomo wapinzani. Wengi hawaelewi umuhimu wa upinzani mpaka waelewe it will be too late.
 
We love you president JK

HIvi JK kama usingetoa ajira kwa vijana wetu wakati wako, msaada kwa wazee vijijini ungetoka wapi?
hapo ndo namkumbuka kila siku nasema angekuwa Kikwete sasa hv nipo shule nafundsha, yan alikuw anaajir walim wote utajua mwenyew uende au usiende kweny kituo chako cha kaz. Ishi maisha marefu yeny manufaa JK
 
Mh Rais Mstaafu wa awamu ya nne binafsi nakuomba Radhi leo Kwa yote nilikuwazia au hata kukusema kiukweli at that time nilikuwa na Moto wa ujana na sikujuwa uzee wako ni hekima.

Nikiwa kama Raia wakawaida kabisa niliwahi kukuandikia baruwa na nikalalamika sana juu ya upole wako na democrasia ilio pitiliza.




004.jpg
 
Mimi nilikuwa mstari wa Mbele kwenye kupiga Vigelegele kwenye kampeni za JK ila alipoindoka katuachia huyu mchomoa betri

Nchi nzima inaungua moto wa umasikini na ukosefu wa ajira wa kutisha
 
Back
Top Bottom