Namuomba Radhi Mzee Jakaya Kikwete

Magufuli ni rais wa Dar Dodoma na Huko Chato lakini mikoa mingine tupotupo tu! Kwanza tumeshasahaulika kama ni Watanzania
HATA YEYE HUKU TUMESHAMSAHAU. TUNAMKUMBUKA LISSU TU KWAMBA AMETWAMBIA UHURU NA KAZI, NA SIY ETI KAZI TU! KWANI SISI PUNDA?
 
JK mimi binafsi nakushukuru kwa mchakato wa kutuletea chuma. Ungefanya uzembe kidogo tuu Tundu angekua waziri wa sheria na tungeshakua jamii ya mapenzi haramu ya jinsia moja


Mungu aendelee kukutunza na kukubariki
 
MIUNDOMBINU NA VITU VINGI HATA MKOLONI ALIFANYA TENA KWA UBORA WA HALI YA JUU, LAKINI TULIMFUKUZA KWA KUTUZIBA MDOMO, KUTUTWEZA, KUTUDHARAU KAMA HILI JAMAA LA CHATO
 
Huyu ambae mlikua mnamsema kuwa Safari hazimuishi? Huyu mliokua mnamsema kuwa ni mpole kupitiliza? Basi hta Magufuli ipo siku mtakuja kumuomba radhi akija Rais mwingine

nimesoma Thread nyingi za JF kumuhusu JK kuanzia mwaka 2006-2013 nilichogundua JK alikosolewa na kusemwa lakini hakuchukiwa,mwenzie anachukiwa that makes a difference
 
Marika hli ya kawaida tunaweza kusema kati ya awamu ya uongozi hapa tanzania awamu ya kikwete ndio iliokua bora karibu kabisa kuizidi ile ya kwanza ya mwalimu.
Sisi wengine hatukuwepo kushuhudia bali tumesoma historia na kuhadithiwa na wazee wetu,kisha tukalinganisa na awamu tulizopo na kufanya marejeo tumekuja na hitimisho la kikwete alikua ni bora mno!
Kola mtu anashuhudia hili hata kama si kwa kutamka hadhari bali ndani ya nafsi yake.

Vile vijana wale walivyokua wamejawa na mihemuko ya balehe na kushindwa kuchanganua mambo waliweza kumtukana sana na ushahidi upo hapa jukwaani.
Ila reaction take tuliina na tumeiona.

Kwa kua jana imekwisha kupita na yaliokua yake yalikwisha pita

Kwakua leo hii tupo basi tuenende na ya leo.

Lakini tubaki kujua leo tupo hivi kwa sababu ya jana,yaani jana ndio iliitengeneza leo.

Basi leo iwe ni bora kwetu kwa kua tunanafasi ya kuitengeneza kesho!

Lakini pia tukumbuke leo imeharibika kwa sababu ya makosa ya jana tuna deni la kuendelea kuiboresha leo wakati huo huo kuitengeneza kesho.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Huyu ni kiongozi bora kabisa kuwahi kutokea.
Awamu wa ya JK ndio awamu ambayo Magufuli huwa anasema watanzania tumechezewa na kuibiwa sana au huwa anaongelea awamu ipi tofauti na ya Kikwete ?
 
Wasibadili tu aidiii mkuu, tutawakumbusha.

Kati ya marais waliokula matusi hapa JF ni JK.

Kila kiongozi ana mapungufu yake, kama binadamu tulivyo. Hatutakuja kupata Rais Mungu, kwamba awe mkamilifu kila idara.
Nikukumbuka wakati anatibiwa prostate alidhalilishwa sana raisi legelege
 
Mim niliomba tupate rahisi mkali sana au dikteta kwa kiasi flani.
Sijutii na sitajutia kamwe. Kwa hakika nimefurahi sana kupata raisi kama Magufuli.

Nina utaratibu wa kusimamia jambo flani kwa moyo wangu wote kama naamini katika hilo jambo.
 
Acheni kumsikiliza huyu Kilaza na mchumia tumbo (TumainiEl).Hakupita kwenye kura za maoni!ndo maana anamponda Mzee Magu kiaina.Huyu akili yake haina tofauti na Musiba,Habibu Mchange, Katambi na the like.
 
Kwangu Mimi kama kuna Mtu ambaye aliiongoza Tanzania kwa bahati mbaya basi ni huyu unayemuomba Radhi hapa na isitoshe ni Yanga SC tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…