Namuomba ''rubii'' abadilishe avater yake kwasababu zifuatazo

Namuomba ''rubii'' abadilishe avater yake kwasababu zifuatazo

Mr IQ

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
1,024
Reaction score
1,377
Habari zenu member woote wa JF,

Kuna member mmoja hivi humu ndani anaitwa rubii mdada huyu avater yake haina maadili kavaa chupi tu! Mapaja yote wazii.Sasa kiustarabu namuomba abadilishe.

Mawazo yangu.
 

Attachments

  • 275369.jpg
    275369.jpg
    1.3 KB · Views: 67
Inaelekea huyu hata akiona chupi imeanikwa anapata tabu
 
Back
Top Bottom