kazi za maghufuri zimeonekana na kila mtu hibyo ni ngumu watu kukuelewa hata ukimkosoa
..kazi zake zinaonekana.
..Na wahanga wa ukatili wake nao wanaonekana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kazi za maghufuri zimeonekana na kila mtu hibyo ni ngumu watu kukuelewa hata ukimkosoa
Mayanga Construction... ilijimilikisha tenda za barabara... ikazijenga chini ya kiwango. Kila siku Tanroads wapo barabarani kutindua na kuweka viraka! Na Mayanga haijwai fanywa kitu...Tukiorodhesha maufisadi yakeutaenda kunya juu ya kaburi wewe
Hi unakumbuka hasara aliliingizia taifa?
1 kivuko kibovu
2. Meli ya wachina
3 mkataba wa Br ya bagamoyo
4 moto cha mafuta mwanza
5 Nyumba Serikali
6 atcl ufisadi
Chama kipi?CCM imeshindwa kumlinda Magufuli matusi mengine anayotukanwa leo alifanya kwa maslahi ya chama chake.Aliitoa ICU na alikoiacha ameondoka na siri yake.
Muda utaongea pigia mstari hii post
Mnang'ata na kupuliza fuuuu kama panya buku waaa...[emoji28]Kwa hiyo una tattoo ya jiwe kwenye moyo wako?Kompyuta mpakato kabisa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hao na wengine wengi wasiojulikana. Halafu usiwe fala kama mkapa aliuwa watu siyo justification ya magufuli na yeye kuuwa watu wasio na hatia. pumbavu
View attachment 2192153View attachment 2192154View attachment 2192156View attachment 2192159
labda kama una sema mungu nasio Mungu.Mungu mwenyewe hawezi msamehe sisi kina nani hadi tumsamehe?
Avune alichopanda
Hivi unajua Mungu anasamehe kila dhambi?? Pole sana kasome maandiko vizuri. Mengine hayana msamaha.... Unajipa cheo kikubwa zaidi ya malaika? Hapana kwa kweli tuliongozwa na kichaalabda kama una sema mungu nasio Mungu.