Namuombea msamaha hayati Magufuli kwa makosa aliyoyatenda

Namuombea msamaha hayati Magufuli kwa makosa aliyoyatenda

Naunga mkono hoja, JPM was a human being just like human being mwingine yeyote, anaweza kuwa na mapungufu yake ya kibinaadamu kama binadamu mwingine yeyote, no one is perfect, aachwe apumzike kwa amani
P
Yule alikuwa na mapungufu ya kibinadamu alafu na yake mwenyewe... Na watu wanamchallenge kwa mapungufu yake ambayo mengi alijitakia kwa kiburi chake!
Siku Putin akimaliza safari yake... Ukraine watafarijika sana!
 
Tuanzie awamu gani?

..tume isikilize wananchi wote waliodhulumiwa bila kujali awamu gani iliwadhulumu.

..umewahi kusikia kisa cha Abdulah Kassim Hanga, ambaye alipotezwa miaka ya 60?

..kwanini familia yake isiambiwe kilichomtokea mpendwa wao, na wapi alizikwa?
 
Habari ndugu zangu Watanzania.

Nimekuwa nikifatilia mijadala ya kumsema hayati Magufuli ikiwa inataradadi hapa jukwaani. Nipende tu kusema hakuna mwanadamu aliyemkamilifu. Kila mwanadamu ana mazuri na mabaya yake. Wote sisi ni waja wa Mwenyezi Mungu, na hatujakamilika.

Ukitaka kuangalia kwa undani utaona mazuri ni mengi kuliko mabaya kwa hayati Magufuli.

Namuombea msamaha kwa hayo mabaya machache aliyoyatenda maana yeye ni mwanadamu hajakamilika, na tufurahie kwa mazuri mengi aliyoyatenda. Tumuache hayati apumzike

Namuombea msamaha kwa haya machache
-Kupunguza mishahara kwa baadhi ya taasisi.
-Kutokuwa na kauli nzuri kwa watendaji wa hovyo
-Kushirikisha wasaidizi wako kabla ya kutenda kwa kila jambo

Ushauri kwa Mh. Rais wa Sasa
  • Sahihisha makosa ya mtangulizi wako kwa kuwarejeshea mishahara taasisi zote watumishi wake waliopunguziwa mishahara
  • Jitahidi kutoa kauli nzuri, za staha
  • Shirikisha wasaidizi wako hatua kwa hatua

Naomba kuwasilisha
Walipeni fidia ndugu wa mliowaua kwa amri zake au waiteni mliowajeruhi na kuwateka muwaombe radhi.
Unapindisha ukweli eti Magufuli anasemwa sababu alipunguza mishahara na blablah nyingine? Mbona hujasema kuwanyima nyongeza ya mishahara watumishi ambayo ni haki yao?
 
Naunga mkono JPM ana mambo msingi ya kushughulika nayo huko aliko. Hawezi saidia chochote katika taifa, nadhani wanaopenda kulalama ni wavivu wa kufikiria. Kama kosa limeshafanyika na lishapita liko kwenye historia, nadhani watu wajikite kurekebisha zaidi badala ya kunyoosha vidole.
Kosa ni lipi lililofanyika? Hili ni swali lisilojibiwa tunaaminishwa tu kuna kosa.
Kosa hilo katendewa nani? Tunaaminishwa tu kuna waliotendewa hatuambiwi ni akina nani
Unarekebishaje kosa kama hulifanyii tathmini? Unafanyaje tathmini ya kosa bila wahusika na hapa JPM
Mie nitoe ushauri wangu huu wa kila siku, wananchi wajikite zaidi kuchanganua sheria zetu zikoje na zinalisaidia vipi taifa. Pale penye mapungufu wawakalie rohoni wabunge bila ya itikadi. Kama kuna somo la maisha ya JPM basi ni hilo la sheria zetu zilitumika vipi na zina udhaifu gani.
Ndicho watu wanachofanya, kama unafuatilia watu wanasema tunahitaji katiba mpya yasijirudie tuliyoyapitia na ambayo wengi wanaishi na maumivu hadi leo
Moja eneo linalohitaji marekebisho ni madaraka ya raisi, DC, RC n.k. Hata hili la kesi kutokuwa na dhamana lina utata mkubwa na nadhani linatumika zaidi kupinisha haki. Maishani mwangu nimeshuhudia kesi nyingi sana zikipelekea watu kusota jela na hatimae zinafutwa. Watu hawalipwi fidia wala waliohusika hawawajibishwi kwa kueka watu ndani bila ya sababu ya msingi .... Anaamka tuu wakili wa serekali anasema basi sina haja ya kuendelea na kesi!!! Ulikuwa wapi siku zote ?????
Sasa ukifanya reference ya JPM unaambiwa hapana twende mbele! unajifunzaje ukiugopa ukweli!

Hizi habari za '' yaliyopita' hazina maana wapo walioumia na hawajapita, wanadai haki
Habari za marehemu hasemwi ni imani za watu na zibaki kuwa imani zao
Wanaosema ni tamaduni, hizo ni tamaduni zao na tunaziheshimu na wazifanye wao

Katika suala la nchi, 'Liberty' ni haki ya kila raia, waacheni wanaosema waseme
 
CCM imeshindwa kumlinda Magufuli matusi mengine anayotukanwa leo alifanya kwa maslahi ya chama chake.Aliitoa ICU na alikoiacha ameondoka na siri yake.

Muda utaongea pigia mstari hii post
 
Kaka usitafute tukulaani na vizazi vyako,unajua kwa nn mungu alimtuma mwanae wa pekee kufia dhambi za wanadamu? Kwa nn kama ishu ni kufa asingetuma malaika mmoja tu,makosa ya jpm ni sawa na rafikiako atembee na mke wa mzee mtaani eti ufunge safari kwenda kumuombea msamaha utafirw* stay away ,dont matter watu wamepoteza mamia ya ndugu wa damu mfano heche kazika mdogo wake wa damu ,watu wamelawitiwa ,watu no vilema hai hadi leo na maisha yote ,kuna watu hata leo wako jela ,kuna vijana 6 wamehukumiwa kifungo cha maisha bukoba kisa uchaguzi wa wizi 2020,watu wamefilisika mazima ,aproximately watanzania 200k walikimbia utawala wake wengine walikuwa wanakamatwa maboda ,kina lisu hawaoni mama zao mwaka wa 5 ,ww umekunywa mbege zako ukaweka bando la buku unaanza kuingilia topic kubwa kwa approach ya chekechea .usipende kukaa na wachawi hata kama ww sio utachukiwa
 
Duh
 
Media Freedom gagged under Magufuli's administration

Source : Newzroom Afrika
 
Wewe ndio Heri James ,Dotto James au Mr Zero ?

Hebu jitambulishe vyema .

Kwa maovu ya awamu ile kuna levels za msamaha.
 
Ushauri wangu kwako kama ndugu:
1JUA UKUBWA WA DHAMBI ZAKE,mauaji ,pesa alizoiba kupitia mayanga construction tilions (chato tu kapoteza bil 50 mali ya wabibi watanzania wanaokufa vijijini kwa kukosa dawa ya tshs 5000)Maamuzi ya kukataa hatua za corona kisa walimnyima hela yaliua makumi ya elfu ya watanzania ,wanaume kama ulivyo ww wamelawitiwa kwa maagizo yake , mmoja hai walilawiti mkewe akiona
2.JUA TARATIBU ZA MSAMAHA
-Kwanza inabidi ukiri umekosea nn kiasi gani na wapi uyaainishe kwa undani
-kisha unirudishie ulichoninyanganya na kunifidia (kama ulininyanganya ardhi unirudishie) sio unaniomba msamaha kwa gari ulinidhurumu afu nakusamehe unaondoka na garinlangu kufurahia msamaha baa
-unipe mpango mkakati kudhihilisha ni nia yako ya dhati hutarudia (Maridhiano na KATIBA MPYA)
-Kisha tunasameheana tunaanza upya au lasivyo wategemee watakuja fanyiwa na mshenzi mmoja yote kuna maelfu ya watoto ni yatima na wameambiwa na mama zao baba yako aliuliwa na nyani ilitokeaga mapoli ya chato
 
Hili ni fundisho kwa Watanzania tusifanye tena makosa kwenye nafasi ya Urais na kuliweka jitu lolote lililokosa ustaarabu uncivilized.
 
Naunga mkono hoja, JPM was a human being just like human being mwingine yeyote, anaweza kuwa na mapungufu yake ya kibinaadamu kama binadamu mwingine yeyote, no one is perfect, aachwe apumzike kwa amani
P
Waambie hayo watoto na familia za Saanane,Gwanda na Kangoye
 
CCM imeshindwa kumlinda Magufuli matusi mengine anayotukanwa leo alifanya kwa maslahi ya chama chake.Aliitoa ICU na alikoiacha ameondoka na siri yake.

Muda utaongea pigia mstari hii post

..Ccm walishindwa kumlinda Jpm tangu mwaka 2015 kwa kumuacha aongoze kampeni chafu za uchaguzi.

..mambo yote mabaya anayolaumiwa nayo Jpm Ccm walikuwa na wajibu wa kumuongoza na kumlinda ajiepushe nayo.

..lakini baya zaidi ni kumuacha afanye mizaha na ugonjwa hatari wa corona huku wakijua anatumia kifaa cha kuongoza mapigo ya moyo.

..unabaki unajiuliza WAZEE WASHAURI KTK CHAMA walikuwa wapi kumshauri Jpm?
 
Alianza kishauri kinana akatumwa india kwa matibabu ,akiwa kwake tanzania wanajeshi wamezunguka ,kisha akaja mzee mangula akapigwa sumu,akaja kingunge akauliwa na mbwa anaowafuga kila siku,akamshauri kikwete akatoa hotuba kuna wastaafu wanawashwa washwa ,akaandikiwa barua na wakina january nape na wazee wa chama akahick simu zao na kusikiliza maongezi ,akawabana wakaomba msamaha wa woga,Jiwe alifanya ubaya kwa makusudi stahili yake ni JEHANAM
 
Habari ndugu zangu Watanzania.

Nimekuwa nikifatilia mijadala ya kumsema hayati Magufuli ikiwa inataradadi hapa jukwaani. Nipende tu kusema hakuna mwanadamu aliyemkamilifu. Kila mwanadamu ana mazuri na mabaya yake. Wote sisi ni waja wa Mwenyezi Mungu, na hatujakamilika.

Ukitaka kuangalia kwa undani utaona mazuri ni mengi kuliko mabaya kwa hayati Magufuli.

Namuombea msamaha kwa hayo mabaya machache aliyoyatenda maana yeye ni mwanadamu hajakamilika, na tufurahie kwa mazuri mengi aliyoyatenda. Tumuache hayati apumzike

Namuombea msamaha kwa haya machache
-Kupunguza mishahara kwa baadhi ya taasisi.
-Kutokuwa na kauli nzuri kwa watendaji wa hovyo
-Kushirikisha wasaidizi wako kabla ya kutenda kwa kila jambo

Ushauri kwa Mh. Rais wa Sasa
  • Sahihisha makosa ya mtangulizi wako kwa kuwarejeshea mishahara taasisi zote watumishi wake waliopunguziwa mishahara
  • Jitahidi kutoa kauli nzuri, za staha
  • Shirikisha wasaidizi wako hatua kwa hatua

Naomba kuwasilisha
Mkapa mbona hasemwi vibaya naye si alikuwa binadamu ?
 
kazi za maghufuri zimeonekana na kila mtu hibyo ni ngumu watu kukuelewa hata ukimkosoa
 
Habari ndugu zangu Watanzania.

Nimekuwa nikifatilia mijadala ya kumsema hayati Magufuli ikiwa inataradadi hapa jukwaani. Nipende tu kusema hakuna mwanadamu aliyemkamilifu. Kila mwanadamu ana mazuri na mabaya yake. Wote sisi ni waja wa Mwenyezi Mungu...
Tukiorodhesha maufisadi yakeutaenda kunya juu ya kaburi wewe
Hi unakumbuka hasara aliliingizia taifa?
1 kivuko kibovu
2. Meli ya wachina
3 mkataba wa Br ya bagamoyo
4 moto cha mafuta mwanza
5 Nyumba Serikali
6 atcl ufisadi
 
Back
Top Bottom