Ebu Watanzania hasa sukumagangnians ebu jitafakarini...
Kwanini mnaendelea kutafuta maendeleo makaburini huko?
JPM alikuwepo. Na sasa ameenda! Na hatorudi tena nawaambia!
Kubalini kupokea na kuishi ukweli!
Yaani mnataka tuache kujenga nchi tuingie kwenye malumbamo ya kijinga jinga kisa mwendazake JPM? HAIWEZEKANI!
Tulifiwa na JKN mchora ramani; tumesonga mbele tupo! Kufa JPM ndo tushindwe kuishi kila siku tukeshe makaburini? HAIWEZEKANI!
JPM will never ever come back from the dead!
Siwashauri mfe sasa ili mkawe nae. Nawashauri mpevuke muishi. Kufa ni ibada ya lazima.
Lakini kwa sasa Mapambano lazima yaendelee!
Kama kuna ahadi aliwapa ndo hivyo tena!
Kama vipi ipasueni ccm ili wote mkose!
Au mkiweza hizo nguvu mnatumia kuhoji kulalamika na kutafuta fadhila zitumieni kuwa kama yeye... jengeni mabarabara vijijini!!