Namuona De Bruyne ndani ya Azizi Ki

Namuona De Bruyne ndani ya Azizi Ki

Nisiwe mnafiki, aziz ki ni mchezaji wa kiwango, amenikosha kwa kweli, nilikua napenda mda wote ashike mpira yeye, kuna kata funika 1 hivi, afu aka dribble aaaah wee alinikosha kwa kweli.

Kwa Aziz Ki, labda arogwe, asiporogwa Next MVP wa msimu.
Kata funua ndio nini [emoji849]
 
Nisiwe mnafiki, aziz ki ni mchezaji wa kiwango, amenikosha kwa kweli, nilikua napenda mda wote ashike mpira yeye, kuna kata funika 1 hivi, afu aka dribble aaaah wee alinikosha kwa kweli.

Kwa Aziz Ki, labda arogwe, asiporogwa Next MVP wa msimu.
Ngoja niongezee ulichosahau.

Byuti Byuti.
 
Nataka kuona kimataifa akifanya jambo, kuinua yanga kwa league ya ndani no doubt. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shida yako we nae bana, unaweza kuta sisi tunadhani unamsifia kwa kiwango chake cha mpira, kumbe wewe unawaza mengine kabisa!

Mimi sikuamini dadek!
 
Kocha Nabi ana wakati mgumu msimu huu! Maana itamlazimu kumuacha kiungo wake mmoja mshambuliaji nje, ili huyu Aziz Kii aweze kucheza kati! Badala ya pembeni.

Sure Boy na Fei Toto, mmoja wao atatakiwa kusubiri nje bila shaka.
Yanga iko na mechi nyingi msimu huu, kuwa na viungo wengi itakua advantage kwenye kufanya rotation bila kushusha ubora wa timu. Sio lazima tumchezeshe Aziz K kule Manungu wakati tuna mechi za CAF.

Huko wanakipiga akina Sureboy, Aziz anawasubiri Lupaso. Makolo mtatapika msimu huu, mpaka mseme mlifuata nini Misri!
 
Sasa hivi baadhi yao wanajitoa ufahamu wanakupinga, tena wanapinga kwa kitu kionekanacho machoni. Huu uzi ipo siku utambukwa.
Kweli kabisa mkuu,na wapo wengine moyoni wanasema "huyu Kenge ngoja dogo apuyange msimu huu tutahamishia majeshi kufufua uzi wake huu "
 
Nisiwe mnafiki, aziz ki ni mchezaji wa kiwango, amenikosha kwa kweli, nilikua napenda mda wote ashike mpira yeye, kuna kata funika 1 hivi, afu aka dribble aaaah wee alinikosha kwa kweli.

Kwa Aziz Ki, labda arogwe, asiporogwa Next MVP wa msimu.
Naam[emoji4]
 
Kwani hii kauli ilianza vipi na nani aliyeianzisha mbona imekuwa maarufu sana kwa siku mbili hizi ?
Mshereheshaji wa kiwango cha 5G kwenye Thimba Dei, ndugu yetu Ahmed Ali. Aljongezea kusema "huyu siyo Mzungu kichaaa! Ni Mzungu kweli kweli!" 😁
 
Mshereheshaji wa kiwango cha 5G kwenye Thimba Dei, ndugu yetu Ahmed Ali. Asema huyu siyo Mzungu kichaaa! Ni Mzungu kweli kweli! 😁
Sasa nimekijua chanzo , maana mtaani 'mlete mdhungu ' inatrend sana.
 
Kuna mtu atakuja aseme Lete mdhunguu lete mdhunguu............
Nmekuja mkuu.....

Lete mdhungu...

Lete mzunguuuuuu
Mzungu amekuja kwa ndege
FB_IMG_16605730975404008.jpg
 
Mwamba anaendeleza kuonyesha makali yake..
 
Back
Top Bottom