Namuona De Bruyne ndani ya Azizi Ki

Namuona De Bruyne ndani ya Azizi Ki

Moja kwa moja ..

Japo kwa gemu hizi mbili za karibuni hajakua na kiwango cha kuwakosha mashabiki ila nikimuangalia kwa uono wa kiufundi na kiuchambuzi pasi na touch nk zake za kiwango cha Epl akitulia kupata uzoefu wa ligi hii na kuzoema mazingira na mfumo wa klabu atasumbua sana .

Natabiri atakua KDB wa pili katika ligi yetu na kimataifa kwa ujumla

#Uzi Tayari
Una akili sana.
 
Mara moja moja sana kuleta uzi , nina idea ya nyuzi kibao sema nimeweka pending nakosa muda wa kutulia kutype nimebaki nasikilizia tu mpaka Leo .
Kumbe unaumwa nyuziphobia😂
 
Back
Top Bottom