Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Una akili sana.Moja kwa moja ..
Japo kwa gemu hizi mbili za karibuni hajakua na kiwango cha kuwakosha mashabiki ila nikimuangalia kwa uono wa kiufundi na kiuchambuzi pasi na touch nk zake za kiwango cha Epl akitulia kupata uzoefu wa ligi hii na kuzoema mazingira na mfumo wa klabu atasumbua sana .
Natabiri atakua KDB wa pili katika ligi yetu na kimataifa kwa ujumla
#Uzi Tayari