ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kata funua ndio nini [emoji849]Nisiwe mnafiki, aziz ki ni mchezaji wa kiwango, amenikosha kwa kweli, nilikua napenda mda wote ashike mpira yeye, kuna kata funika 1 hivi, afu aka dribble aaaah wee alinikosha kwa kweli.
Kwa Aziz Ki, labda arogwe, asiporogwa Next MVP wa msimu.
Cocastic ni shabiki wa mpira , si mshangiliaji.Duh ni wewe au umedukuliwa account? Mnazi wa Simba leo unaongea haya?
Namkubali sana yule Mbrazil.Hapa mkiongeza na yule mbrazil wa singida ah mbona mnakula kuku kwa mrija
Ngoja niongezee ulichosahau.Nisiwe mnafiki, aziz ki ni mchezaji wa kiwango, amenikosha kwa kweli, nilikua napenda mda wote ashike mpira yeye, kuna kata funika 1 hivi, afu aka dribble aaaah wee alinikosha kwa kweli.
Kwa Aziz Ki, labda arogwe, asiporogwa Next MVP wa msimu.
Shida yako we nae bana, unaweza kuta sisi tunadhani unamsifia kwa kiwango chake cha mpira, kumbe wewe unawaza mengine kabisa!Nataka kuona kimataifa akifanya jambo, kuinua yanga kwa league ya ndani no doubt. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga iko na mechi nyingi msimu huu, kuwa na viungo wengi itakua advantage kwenye kufanya rotation bila kushusha ubora wa timu. Sio lazima tumchezeshe Aziz K kule Manungu wakati tuna mechi za CAF.Kocha Nabi ana wakati mgumu msimu huu! Maana itamlazimu kumuacha kiungo wake mmoja mshambuliaji nje, ili huyu Aziz Kii aweze kucheza kati! Badala ya pembeni.
Sure Boy na Fei Toto, mmoja wao atatakiwa kusubiri nje bila shaka.
Kweli kabisa mkuu,na wapo wengine moyoni wanasema "huyu Kenge ngoja dogo apuyange msimu huu tutahamishia majeshi kufufua uzi wake huu "Sasa hivi baadhi yao wanajitoa ufahamu wanakupinga, tena wanapinga kwa kitu kionekanacho machoni. Huu uzi ipo siku utambukwa.
Naam[emoji4]Nisiwe mnafiki, aziz ki ni mchezaji wa kiwango, amenikosha kwa kweli, nilikua napenda mda wote ashike mpira yeye, kuna kata funika 1 hivi, afu aka dribble aaaah wee alinikosha kwa kweli.
Kwa Aziz Ki, labda arogwe, asiporogwa Next MVP wa msimu.
Mshereheshaji wa kiwango cha 5G kwenye Thimba Dei, ndugu yetu Ahmed Ali. Aljongezea kusema "huyu siyo Mzungu kichaaa! Ni Mzungu kweli kweli!" 😁Kwani hii kauli ilianza vipi na nani aliyeianzisha mbona imekuwa maarufu sana kwa siku mbili hizi ?
Nmekuja mkuu.....Kuna mtu atakuja aseme Lete mdhunguu lete mdhunguu............
A prophecy that came trueLeo amenipigia goli safi kama KDB mwenyewe .
Mi sio mtu wa mpira ila kwa de bruine nikateni tu na kichwa.Kweli kabisa kwa mtu wa mpira ni rahisi kuliona hilo.