Namuona Kamishna Salum Hamduni mbali zaidi

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Kwa kazi nzuri na ya kutukuka huko Takukuru, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni namuona akifika mbali sana katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.

Kuna sauti ndani yangu inanambia, CP Hamduni atapanda juu zaidi siku si nyingi toka sasa.

Kwahyo wale waliobakia, ambao taasisi zao hazijaguswa wajiandae, Hamduni amewasha moto mkali na lazma afike mbali sana.
 
Ndani ya CCM atafundishwa lila liloovu,ili aendelee kuyarinda,bora abakie apoapo,ikipelekwa TISS utamkana siku moya
 
Kwa kazi nzuri na ya kutukuka huko Takukuru, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni namuona akifika mbali sana katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.

Kuna sauti ndani yangu inanambia, CP Hamduni atapanda juu zaidi siku si nyingi toka sasa.

Kwahyo wale waliobakia, ambao taasisi zao hazijaguswa wajiandae, Hamduni amewasha moto mkali na lazma afike mbali sana.
Mbali wapi tena kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama. Hapo alipo ni juu
 
Kipi cha maana alichokifanya so far?
 
Unaweza ku-share nasi,Ni kazi gani mzuri na yakututuka amefanya CP Hamduni amefanya Takukuru kwa kipindi alichokaa ,kushajahisha maono yako

giphy.gif
 
Aifanyie kazi ile FLASH ambayo Lema, Msigwa na Nasari walipeleka hapo HQ. Pia adili na mzee wa Gwambina
 
Kina juu zaidi ya alipo? Ni kamishna kamili, ni mkuu wa moja ya taasisi zinazoitwa 'vyombo vya ulinzi na usalama', juu wapi tena? Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani?
 
personal namjua kama mtu mmoja mpenda aman sana.

halafu ni mtu wa dini practically sio wale wahudhuriaji swala 5 halafu matendo 0.

anafaa kokote sababu akili imetulia pia.
Kwa hiyo achukue nafasi ya uwakilishi wa wanamchi Kwa jamaa ngazi ya kata?

Tusubiri mid August.
 
Kwa kazi nzuri na ya kutukuka huko Takukuru, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni namuona akifika mbali sana katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.

Kuna sauti ndani yangu inanambia, CP Hamduni atapanda juu zaidi siku si nyingi toka sasa.

Kwahyo wale waliobakia, ambao taasisi zao hazijaguswa wajiandae, Hamduni amewasha moto mkali na lazma afike mbali sana.
labda TISS
 
Back
Top Bottom