Namuona Lokosa kama pacha wa Yikpe

Namuona Lokosa kama pacha wa Yikpe

Yikpe anaingia kambani kama hana akili huko Uarabuni. Ni misumari tu
Metch 12 goal 9
Screenshot_20210201-172050.jpg
 
Na Mugalu atakuwa nani? Mpaka sasa sijui inekuwaje yuko Simba na sio Yanga maana wao wana uzoefu na wachezaji wabovu kama Sarpong, Molinga
Molinga alikuwa na ubovu gani? Hata wakati anaaondoka ndio alikuwa mfungaji bora wao.
 
Mchezaji kwa ajili ya Klabu bingwa unampaje mkataba wa miezi sita?
Alipewa miezi 6 kwasababu alikataa majaribio ,alikotoka takwimu ni nzuri ila hataki majaribio je unampaje zaidi ya miezi 6?
 
Ni mtazamo tuu, wala msijenge chuki. Kuna dalili zote Lokosa Junior akawa kama Yikpe tu. Japo hajapata muda wa kutosha, ila kwa touch zake mbili tatu nikiwa kama mdau wa soka naona kabisa Simba wamepigwa mchana kweupe. Ni suala la muda tuu... Lokosa hatoshi Simba ni heri Kagere kuliko huyo Lokosa.

Mapovu ruksa!!
Kwani Lokosa kakosa nini mapema hivi? Au ni Lokasa ya Mbongo?
 
Wekeni akiba ya maneno. Huyo mwamba katoka Esperance ya Tunisia moja ya timu kubwa sana Afrika lakini hajacheza muda mrefu kutokana na Corona. Ana kosa mechi fitness kwa kiasi fulani kutokana na kukosa mechi za mashindao kwa muda. Ukitaka kujua madhara ya kutokucheza muda mrefu mwangalie mwamba mwingine Tadeo Lwanga alivyoanza taratibu kwenye Mapinduzi Cup wabongo wakachonga sana na sasa gari limeanza kuwaka wameanza kukaa kimya wenyewe kama Bwalya alivyowanyamazisha. Kwa hao wanomfananisha Lokosa na Yikpe au Sarpong sijui wanatumia vigezo gani. Kwa kuwa mpira ni mchezo wa wazi tusubiri tumuone kwenye mechi mbili tatu zijazo. Lakini tukumbuke siku zote usajili ni kamari tu maana mchezaji anaweza kuwika timu A lakini akaenda kuwa kichekesho timu B.
 
Hivi kuna sttiker wa Afrika Magharibi aliyewahi kutamba kwenye hii ligi yetu?! Huwa naona kama hatuna bahati nao.
Sio kwamba hatuna bahati nao, kumbuka Afrika magharibi Kuna watu wajanja Sana, hawa wachezaji wanaokuja huku wanakuwa uwezo mdogo mno. Ni ngumu mchezaji mwenye uwezo wa Afrika Magharibi Kuja East Afrika, wengi hucheza Nchi zilizo kaskazini mwa Afrika na wengine hutimkia Asia, Ulaya, America na kwingineko.
 
Mmehamia kwa Lokosa sasa maana ilikuwa bwalya tumepigwa mara Onyango hamna kitu mzee. But hata yy anaenda kuwaprove wrong namtahamia kwa mwingine, aliyecheza mpira tu ndio anamjua mchezaji hata asipopaform kwenye mechi husika
 
Back
Top Bottom