Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Metch 12 goal 9Yikpe anaingia kambani kama hana akili huko Uarabuni. Ni misumari tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Metch 12 goal 9Yikpe anaingia kambani kama hana akili huko Uarabuni. Ni misumari tu
Kama hujui soka dk 5 zinatosha kukujua.
Molinga alikuwa na ubovu gani? Hata wakati anaaondoka ndio alikuwa mfungaji bora wao.Na Mugalu atakuwa nani? Mpaka sasa sijui inekuwaje yuko Simba na sio Yanga maana wao wana uzoefu na wachezaji wabovu kama Sarpong, Molinga
Dakika 5 nyingi sana pass 1 tuKama hujui soka dk 5 zinatosha kukujua.
Uarabu wa mashoga labda.Yikpe anaingia kambani kama hana akili huko Uarabuni. Ni misumari tu
Simba hatuna KAZI MBOVU.Tulia dawa iwaingie
Kwa mikimbio ile hapana.
Sapong na Yikpe tulisema hivo na ikawa mle mleUmesahau sisi tukileta mchezaji hata kabla hajacheza tayari mmeshahukumu kuwa ni garasa Mtani?
Hivyo huwa mnawapimaje eti?
Alipewa miezi 6 kwasababu alikataa majaribio ,alikotoka takwimu ni nzuri ila hataki majaribio je unampaje zaidi ya miezi 6?Mchezaji kwa ajili ya Klabu bingwa unampaje mkataba wa miezi sita?
Msubirie na Lokosa naye.Sapong na Yikpe tulisema hivo na ikawa mle mle
Kwani Lokosa kakosa nini mapema hivi? Au ni Lokasa ya Mbongo?Ni mtazamo tuu, wala msijenge chuki. Kuna dalili zote Lokosa Junior akawa kama Yikpe tu. Japo hajapata muda wa kutosha, ila kwa touch zake mbili tatu nikiwa kama mdau wa soka naona kabisa Simba wamepigwa mchana kweupe. Ni suala la muda tuu... Lokosa hatoshi Simba ni heri Kagere kuliko huyo Lokosa.
Mapovu ruksa!!
Sio kwamba hatuna bahati nao, kumbuka Afrika magharibi Kuna watu wajanja Sana, hawa wachezaji wanaokuja huku wanakuwa uwezo mdogo mno. Ni ngumu mchezaji mwenye uwezo wa Afrika Magharibi Kuja East Afrika, wengi hucheza Nchi zilizo kaskazini mwa Afrika na wengine hutimkia Asia, Ulaya, America na kwingineko.Hivi kuna sttiker wa Afrika Magharibi aliyewahi kutamba kwenye hii ligi yetu?! Huwa naona kama hatuna bahati nao.
Yupo kijana mmoja alichezea Simba,miaka ya 2000,emeh ezechukwu!! Alifanya vizuriHivi kuna sttiker wa Afrika Magharibi aliyewahi kutamba kwenye hii ligi yetu?! Huwa naona kama hatuna bahati nao.
Dakika 5 nyingi sana pass 1 tu
Mchezaji mzuri utamjua kwa touch yake huhitaji mechi kumiKuwa na subra.
Mtu katoka Nigeria ndo Mara ya kwanza anaingia Tanzania na kucheza mpira.kajitahidi sanaaaa.
Mchezaji mzuri utamjua kwa touch yake huhitaji mechi kumi