Namuona Mume wa Shilole ni Mshamba

baby.akemastaaa wa bongo ACHENI SIFA ZISIZO NA MAANA
@wastara84 TOKA AMEANZA KULIA NA KUOMBA MSAADA HAKUNA HATA STAR YEYOTE ALIYE JITOKEZA NA KUMCHANGIA KWA LOLOTE

ILA KWENYE HARUSI JANA WATU WALISHINDANA KUTOWA ZAWADI HUKU MWENZAO AKIUGULIWA NDANI TU

@harmonize_tz JANA ULITOWA ZAWADI YA MILLIONI9 JE! @wastara84 UMEMCHANGIA KIASI GANI ILI AKATIBIWE?

@diamondplatnumz JANA UMEMUULIZA SHILOLE ACHAGUWE ZAWADI ANAYOITAKA NA UTAMPA JE! @wastara84 UMESHAMUULIZA ANATAKA KIASI GANI ILI AKATIBIWE?

@dogojanjatz NA WW JANA ULIJIFANYA PEDEJEE UKAMWAGA MIPESA KIBAO JE!! ULIMKUMBUKA @wastara84 KUMCHANGIA CHOCHOTE?

NINAIMANI MASTAA WA BONGO MOVIE NA BONGO FLAVOR PESA MULIZOZITOWA JANA KWA KUMCHANGIA SHILOLE NA BEN TEN WAKE ZILIKUWA ZINATOSHA KABISA KUMPELEKA @wastara84 INDIA AKATIBIWA NA AKAPONA SALAMA ILA KWAKUWA WOOTE NI WANAFKI HAMTAKI KUMJALI

ALAFU AKIFA NDIPO MUTAJITOKEZA NA KUANZAA KULIA NA KUTOWA RAMBI RAMBI KWA KUSHINDANA

NA WENGINE KUMSIFIA KWA MEMA YAKE ALIYO KUWA ANAYATENDA DUNIANI
KUWENI NA UMOJA WASANIII ACHENI UNAFKI
[HASHTAG]#MCHANGIEWASTARA[/HASHTAG] [HASHTAG]#NAMUNGUATAKUBARIKI[/HASHTAG]
 
Bora mshamba mwenye tango kuliko borntown mwenye kibamia
 
Arusi?? Kumbe wew, ni mshamba kuliko hata jamaa unayemsema.
 
Mshamba??? Mbona katongoza na akakubaliwa???


Alitongonzwa wewe umeshau? yule hata kutongonza bado aisee yupo yupo na hata bado hajatakata... Alijesema dada wa Taifa bora Ben10 ya Bi Sandra kuliko huyo wa Shilole sijui yeye ni Ben10 au Belle9
 
Kuna shemeji yangu nae aliolewa ama huyu huyu Uchebe akajisahau kama kaolewa anataka kuleta umuch know kwanini asibebwe juu kwa juu. narambo yako
 
Wote wanaomsakama mtoa sred ni mamarioo mnajiconsole tu! Uchebe si mshamba ila ni mjanja anatafuta pa kutokea! Katika harusi hiyo alikuwa anaona aibu kuoa mtu ana mtoto kama yeye na wengi wamepiga hapo! Bujibuji sijakuelewa na comment yako sijui nawe ni wale wale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…