fatmanuria
JF-Expert Member
- Aug 26, 2017
- 440
- 701
Kwel aiseeChezea visura wa JF wewe bila mpunga watu hawakupi unachohitaji wanaignore tu
Sawa kabisa, washaanza majungu yao, waacheni wale maisha, tunawaona mnavyotaka kuwaharibia ndoa zao..Haya ni majungu Na umbea. Wanaume tunajadili issues sio mambo ya watu. Awe mshamba awe mjanja hautofaidika kamwe Na huyo jamaa. Jenga maisha yako achana Na kufuatilia WANAUME wa watu
Acha utoto hata wewe kumpenda bibie ni kwa vile ana bidhaa adimu (papuchi)! Sasa kwa nini mtoto wa kike akuchunuku na kesho afagie barabara ili apate mlo? Cc espyKwel aisee
Na wewe harusi yako lini?[emoji124][emoji124][emoji124]Tuwekeeni picha za harusi na sisi tuliokosa kadi tuzione.
Wewe si ulikuwa mshenga?Na wewe harusi yako lini?[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji125][emoji125][emoji125]Wewe si ulikuwa mshenga?
Comment of the month nimecheka mno chumvi???Hata angalikuwa mwanangu nisingejiaibisha kuhudhuria! Hata midomo yake unaiona ilivyobabuka kwa ajili ya chumvi
Nimuonee wivu huyo muuza oili chafu???Acha wivu wewe,
Hebu sikiliza wimbo Wa msaga simu, "mwanaume mashini" kisha rudi hapa!!!Kiukweli mapenzi ni upofu , kila nikikaa nikimuangalia huyo uchebe sioni chochote alichonacho pesa hana sura hana hajui kuvaa , hajachangamka yani yupo yupo tu kama sanamu la michelini.
Shilole tangu nithibitishe anamtanulia miguu huyu muuza oil chafu na fundi gereji nimemuona ni mtu wa hovyo sana hata ile sapoti niliyokuwa nampa nimeisitisha na mawasiliano yake pia nimekata .
Huyo Shishi kwanza mchafu tuKumbe wivu unakusumbua, jitathmini kk, pengine ulikua humridhishi, jamaa snapiga machine mpaka shishi bebi amepagawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mapenzi upofu, unajua unaweza kuwa na demu ukampa kila kitu mpaka showza kibabe, lakini unakuja kushangaa anachukuliwa na mjingamjinga mmojaNimuonee wivu huyo muuza oili chafu???