Namuona Mwamposa nyuma ya anguko la kiroho la Mch. Moses Magembe na Ustaz Mazinge

Namuona Mwamposa nyuma ya anguko la kiroho la Mch. Moses Magembe na Ustaz Mazinge

Yesu aliwahi kunipa nguvu katika Njozi .Nikazitumia kuwashinda mapepo na nguvu za giza za kila aina . Yaani mapepo yote. Nilipojaribu kumfuata shetani ili naye nipambane naye kwa namna ile ile nilivyotumia kuwashinda mapepo, Yesu aliniwahi na kuniambia huyo hutamuweza .Huyo nitamuweza mimi mwenyewe .

Nikagundua kuwa Shetani ni very powerfull . Ndio maana anaitwa mungu wa dunia. Yesu pekee ndiye aliyeweza kumshinda shetani. Hakuna mtume wala Nabii aliyemshinda Shetani bila nguvu za Kristo .
Kama Yesu akitaka kumbadili Mazinge amtumikie basi ni sekunde.


Yesu alipotaka kuwainua watoto wa Mungu yaani Wakristo aliibadili mifumo yote ya dunia iwe chini ya Ukristo na alianza na Dola kubwa la Kirumi . Akawaweka chini ya miguu yake ndipo wakristo walipostawi na kuwa huru bila kusumbuliwa na mtu mpaka leo unasikia uhuru wa kuabudu. Hakuna mtu binafsi angeweza kupambana na Dola la Kirumi .
Nje ya Yesu; shetani ana nguvu ambazo zinaweza kukumaliza wewe ndani ya muda ambao ni wa microsecond, yaani kwenye fraction ya 1-millionth of a sekunde, wewe unakuwa haupo

Ndani ya Yesu, shetani na wewe ni kama Caterpillar la kutengeneza barabara na sisimizi; shetani akiwa ndiyo sisimizi
 
Ushasema unaifuata Imani ya "Nuru, mwanga" yaani enlightenment, star, nyota ya alfajiri, umemaliza, wewe, mwamposa, msoga, kiboko ya wachawi, Diamond ni dini moja
 
Ushasema unaifuata Imani ya "Nuru, mwanga" yaani enlightenment, star, nyota ya alfajiri, umemaliza, wewe, mwamposa, msoga, kiboko ya wachawi, Diamond ni dini moja
Ur still a learner
 
Majini ya mwamposa ni makali, ukimzingua yanakuzingua.

Upako unatembea kama radi.

Nchi nzima tumekuwa mazombi ya mwamposa!
Kama wewe umekuwa zombi shauri yako usituingize ma sisi ambao hatujawa mazombi ya Mwamposa.
 
Back
Top Bottom