Namuona Mwamposa nyuma ya anguko la kiroho la Mch. Moses Magembe na Ustaz Mazinge

Umeona ulivyo mweupe kichwani? Umeona ambavyo ni kweli huna marinda wewe?
Mwanaume rijali hawez kuandika "acha mbambamba.." in any means ushashikishwa ukuta...

Haya rudi sasa ktk hoja acha kuandika vijembe kama hanisi
Umeshakula kwanza bwana mdogo embu weka namba yako nikutumie hela ukale. Unaonekana unanjaaa.

Yaani matusi yanakutoka mishipa imekukaza unatukana hovyo kisa kumtetea tapeli wako😄😄😄

Ipo siku utajidharau sana kwa huu ujinga unaouamini.
 
Kuna mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe.

Nianze kwa ku declare interest.

Am neither a Christian nor a Muslim.

Mimi sio Mkristu wala si muislamu.

Ingawa nimezaliwa sio tu kwenye familia ya kiislamu bali natoka kwenye kabila ambalo asilimia 99.9 ni waislamu.

So huko mtaani naweza kuwa nadhaniwa ni muislamu kutokana na majina yangu etc.

However sina noma na uislamu
Sina noma na ukristu. Naziheshimu imani hizo mbili pamoja na watu wake wote.

Nimetoka kwenye dini hizo ambazo zimeletwa na wageni kutoka nje ya Afrika kwa sababu nilijipima na kujiona hakuna mahala popote ambapo mafundisho ya dini hizo yanasimama pamoja na Mimi wala mahali ambapo Mimi ninasimama na dini hizo.

Nikiweka kwenye kiingereza unaweza kunielewa vizuri zaidi. I have left foreign religions cause I dont see anywhere where they stand with me or rather where I stand with them.

Dini yangu ninayo ifuata which is my own creation ni " Nuru/ Mwangaza"

Ni mfuasi wa Nuru. Ninaifuata Nuru bila kujali nani kaibeba.

I am a desciple of the Light. I follow the Light without giving a heck who carries it

Tuje kwa ishu ya Mwamposa.

Huko mtaani kuna kanuni moja ambayo huwezi fundishwa shule inasema hivi

" Ukiona mtu anatengeneza hela nyingi kuliko wewe more especially kwenye biashara ile ile unayo ifanya wewe tafsiri yake ni kwamba mtu huyo ana akili nyingi kushinda wewe kwa sababu pesa hutafutwa kwa kutumia akili"

So lazima umuheshimu mtu alie kuzidi Cause he knows that which thou know not.

Niliwahi kuandika hapa before kwamba Mwamposa anapaswa kuheshimiwa kwa sababu ana kitu ndani yake ambacho wengi hawana.

Anajua vitu vingi kuliko wengi ndio maana anafanikiwa zaidi kwenye huduma yake kushinda wengine.

Nimenotice kwamba watu wengi ambao wanamsema vibaya Mwamposa huishia kuanguka kwenye mambo wanayo yafanya.

Ni kama vile kuna malaika ambao wamekuwa appointed kushindana na wale ambao wanashindana nae.

Mifano kadhaa. Kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kuongea shit kuhusu Mwamposa baada ya sakata la vifo kule Moshi, hakuchukua round she was called to meet with the Lord.

Mazinge mara nyingi amekuwa akimponda Mwamposa sasa hivi ame retard.

Anashirikiana na watu wanao uchafua uislamu hadharani..

Anapingana na mafundisho ya Qur'aan hadharani .

Mazinge huyu huyu ambae kuna kipindi alikuwa ana act as if he was the Deputy to the Prophet ( Peace be upon him) now anafanya vitu ambavyo hata Mimi ambae nilikuwa muumini wa kawaida tu siwezi kufanya.

Nikikumbuka Mazinge alivyo kuwa anamchana Mzee Yusufu baada ya kurudi kwenye Taarab na vitu anavyo fanya sasa hivi napigwa na butwaa.

Soon mtasikia Mazinge kawa mlokole just mark my words.

As far as his place in Islam is concerned, Mazinge is going down in a hurry.

MCH. MOSES MAGEMBE.

Kwa muda wa miaka miwili Mzee Moses Magembe amekuwa akimponda sana Mwamposa kwa mafumbo yeye na huduma yake.

Now amejitoa TAG na sababu kubwa itakuwa ni Maslahi tu hakuna cha kusema kanisa limekufa blah blah blah.

Ni kwamba ipo wazi kama ya mbuzi watu wake wa karibu watakuwa wamemjaza kwamba sasa hivi wewe tayari ni maarufu kwenye mitandao ya kijamii. Toka TAG anzisha kanisa lako.

Ndio maana mara baada ya kanisa lake kuanza he is braging kwamba ana wafuasi mia 7..

Why talking about the numbers?

Watu wake wa karibu hawaja mjulisha Mzee we watu kwamba watu wanampenda kwa sababu ya ile lafudhi yake ya kisukuma na mannerisms za wachungaji wa kilokole wa kizamani plus style yake ya kuongea kwa kufoka lakini huwa hana mahubiri ya maana kihivyo zaidi ya kuponda wachungaji wenzake...

Kauli ya askofu wa TAG baada ya Magembe kuasi Team Magembe wanatakiwa kuitafakari sana.

Alisema hivi tairi likichomoka kwenye gari kipi kinacho enda mwendo mrefu zaidi kati ya tairi lililochomoka na gari?

Mzee Magembe muombe radhi Mwamposa fanya hivyo hadharani vinginevyo utaenda kuaibika maana mwisho wa siku na wewe utaanza kutoa huduma ya kukanyaga mafuta kwenye kanisa lako ambayo umekuwa ukiiponda sana.

Thanks me later

🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Duuh
 
Umejichanganya sana kwenye andiko lako.
Lisome tena then tafakari unasimamia nini?!
 
Mwamposa ataanguka na kupooza kama hao wawili. Hakuna dini ya kigeni inaweza kumfikisha mswahili popote.
 
Kuhusu huyo mazinge nazan katika mabishano ya dini ambayo huwa anayafanya huenda kakutana na Nuru ya KRISTO YESU mwenyewe

YESU KRISTO akikutaka ni ngumu kuchomoa , na ukimuona mtu siyo mkristo jua kabisa kwamba huyo KRISTO YESU mwenyewe hajamtaka ha hamuhitaji , YESU KRISTO akikutaka utashangaa sana , ni mwema sana na huwa anawatokea yeye mwenyewe

KRISTO TUMAINI LETU

Yesu aliwahi kunipa nguvu katika Njozi .Nikazitumia kuwashinda mapepo na nguvu za giza za kila aina . Yaani mapepo yote. Nilipojaribu kumfuata shetani ili naye nipambane naye kwa namna ile ile nilivyotumia kuwashinda mapepo, Yesu aliniwahi na kuniambia huyo hutamuweza .Huyo nitamuweza mimi mwenyewe .

Nikagundua kuwa Shetani ni very powerfull . Ndio maana anaitwa mungu wa dunia. Yesu pekee ndiye aliyeweza kumshinda shetani. Hakuna mtume wala Nabii aliyemshinda Shetani bila nguvu za Kristo .
Kama Yesu akitaka kumbadili Mazinge amtumikie basi ni sekunde.

Yesu alipotaka kuwainua watoto wa Mungu yaani Wakristo aliibadili mifumo yote ya dunia iwe chini ya Ukristo na alianza na Dola kubwa la Kirumi . Akawaweka chini ya miguu yake ndipo wakristo walipostawi na kuwa huru bila kusumbuliwa na mtu mpaka leo unasikia uhuru wa kuabudu. Hakuna mtu binafsi angeweza kupambana na Dola la Kirumi .
 
Ubalikiwe sana mtumish

Umetisha sana
 
Umeshakula kwanza bwana mdogo embu weka namba yako nikutumie hela ukale. Unaonekana unanjaaa.

Yaani matusi yanakutoka mishipa imekukaza unatukana hovyo kisa kumtetea tapeli wako😄😄😄

Ipo siku utajidharau sana kwa huu ujinga unaouamini.
Acha tabia za kichoko, unafuata wanaume wakufumue marinda... Si kila mtu anaendekeza huo ujinga...
 
Kwa Hali hii ya waTZ

Bora Mama aongeze tu idadi ya hao waChina naona hyo 300k hawatosh
Aongeze hata 2m.
Waje kujamiiana tu ipatikane hybrid yenye strong "upstairs".

NB
Tumelala mno.

End**
 
hakuna nchi iliyoendelea kwa mafuta wala takataka za unaoitwa upako watu wanafanya kazi maamae zenu acheni ujinga mleta uzi nawewe walewale tu maaneenerr ulianza kwa kujitia huna dini kumbe mffuasi kindakindani wa muuza mafuta ya alizeti SHAME
 
kuna dada mmoja ni mfuasi wa Mwampsa ,baada ya ndugu yangu kufiwa na mume wake eti akamfata anamwambia mume wake hajafaa yupo msukule anamuonaga.
Nikaamini hawa waumini wanachofundishwa huko ni kuja kuwa wehu sasa.wanajua eti hata kifo ni mipango ya shetani
 
Kuna Nuru halisi na nuru fake, kumbuka kila nuru ina chanzo chake na kila nuru lazima ikuelekeza njia na unapoifuata unafika unapopataka. Wewe unafuata nuru ipi?
 
Back
Top Bottom