Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Kwahiyo ukiwa kkkt hurusiwi kusali novena mtumish?We juzi si ulikuwa unatoa ushuhuda kuhusu novena wewe sio mkatoliki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ukiwa kkkt hurusiwi kusali novena mtumish?We juzi si ulikuwa unatoa ushuhuda kuhusu novena wewe sio mkatoliki?
Ktk Imani ya Ukristo ni tofauti na Imani nyingine. Ukristo wa biblia ninaoujua unamfata kiongozi kama kiongozi anamfata mwanzilishi wa Imani hii yaani Yesu Kristo. Kama kiongozi hamfati huyo basi waaumini wanahaki ya kiimani kuachana na kiongozi wao. Hivyo, siku Magembe akiacha hiyo Imani ya kumfuata Kristo na hao waumini ambao wanajua walichokiamini wataavha kumfuata Magembe. Kumbuka yeye hatokuwa wa kwanza kuacha Imani.Kuna mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe.
Nianze kwa ku declare interest.
Am neither a Christian nor a Muslim.
Mimi sio Mkristu wala si muislamu.
Ingawa nimezaliwa sio tu kwenye familia ya kiislamu bali natoka kwenye kabila ambalo asilimia 99.9 ni waislamu.
So huko mtaani naweza kuwa nadhaniwa ni muislamu kutokana na majina yangu etc.
However sina noma na uislamu
Sina noma na ukristu. Naziheshimu imani hizo mbili pamoja na watu wake wote.
Nimetoka kwenye dini hizo ambazo zimeletwa na wageni kutoka nje ya Afrika kwa sababu nilijipima na kujiona hakuna mahala popote ambapo mafundisho ya dini hizo yanasimama pamoja na Mimi wala mahali ambapo Mimi ninasimama na dini hizo.
Nikiweka kwenye kiingereza unaweza kunielewa vizuri zaidi. I have left foreign religions cause I dont see anywhere where they stand with me or rather where I stand with them.
Dini yangu ninayo ifuata which is my own creation ni " Nuru/ Mwangaza"
Ni mfuasi wa Nuru. Ninaifuata Nuru bila kujali nani kaibeba.
I am a desciple of the Light. I follow the Light without giving a heck who carries the it
Tuje kwa ishu ya Mwamposa.
Huko mtaani kuna kanuni moja ambayo huwezi fundishwa shule inasema hivi
" Ukiona mtu anatengeneza hela nyingi kuliko wewe more especially kwenye biashara ile ile unayo ifanya wewe tafsiri yake ni kwamba mtu huyo ana akili nyingi kushinda wewe kwa sababu pesa hutafutwa kwa kutumia akili"
So lazima umuheshimu mtu alie kuzidi Cause he knows that which thou know not.
Niliwahi kuandika hapa before kwamba Mwamposa anapaswa kuheshimiwa kwa sababu ana kitu ndani yake ambacho wengi hawana.
Anajua vitu vingi kuliko wengi ndio maana anafanikiwa zaidi kwenye huduma yake kushinda wengine.
Nimenotice kwamba watu wengi ambao wanamsema vibaya Mwamposa huishia kuanguka kwenye mambo wanayo yafanya.
Ni kama vile kuna malaika ambao wamekuwa appointed kushindana na wale ambao wanashindana nae.
Mifano kadhaa. Kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kuongea shit kuhusu Mwamposa baada ya sakata la vifo kule Moshi, hakuchukua round she was called to meet with the Lord.
Mazinge mara nyingi amekuwa akimponda Mwamposa sasa hivi ame retard.
Anashirikiana na watu wanao uchafua uislamu hadharani..
Anapingana na mafundisho ya Qur'aan hadharani .
Mazinge huyu huyu ambae kuna kipindi alikuwa ana act as if he was the Deputy to the Prophet ( Peace be upon him) now anafanya vitu ambavyo hata Mimi ambae nilikuwa muumini wa kawaida tu siwezi kufanya.
Nikikumbuka Mazinge alivyo kuwa anamchana Mzee Yusufu baada ya kurudi kwenye Taarab na vitu anavyo fanya sasa hivi napigwa na butwaa.
Soon mtasikia Mazinge kawa mlokole just mark my words.
As far as his place in Islam is concerned, Mazinge is going down in a hurry.
MCH. MOSES MAGEMBE.
Kwa muda wa miaka miwili Mzee Moses Magembe amekuwa akimponda sana Mwamposa kwa mafumbo yeye na huduma yake.
Now amejitoa TAG na sababu kubwa itakuwa ni Maslahi tu hakuna cha kusema kanisa limekufa blah blah blah.
Ni kwamba ipo wazi kama ya mbuzi watu wake wa karibu watakuwa wamemjaza kwamba sasa hivi wewe tayari ni maarufu kwenye mitandao ya kijamii. Toka TAG anzisha kanisa lako.
Ndio maana mara baada ya kanisa lake kuanza he is braging kwamba ana wafuasi mia 7..
Why talking about the numbers?
Watu wake wa karibu hawaja mjulisha Mzee we watu kwamba watu wanampenda kwa sababu ya ile lafudhi yake ya kisukuma na mannerisms za wachungaji wa kilokole wa kizamani plus style yake ya kuongea kwa kufoka lakini huwa hana mahubiri ya maana kihivyo zaidi ya kuponda wachungaji wenzake...
Kauli ya askofu wa TAG baada ya Magembe kuasi Team Magembe wanatakiwa kuitafakari sana.
Alisema hivi tairi likichomoka kwenye gari kipi kinacho enda mwendo mrefu zaidi kati ya tairi lililochomoka na gari?
Mzee Magembe muombe radhi Mwamposa fanya hivyo hadharani vinginevyo utaenda kuaibika maana mwisho wa siku na wewe utaanza kutoa huduma ya kukanyaga mafuta kwenye kanisa lako ambayo umekuwa ukiiponda sana.
Thanks me later
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mazinge anafanya nini siku hizi dhidi ya uislam!?100% fact
Lazaro alikua mfu,akafufuliwa,dogo na mapepo akaponywa,yesu hakusingizia wawe na imani,imani ni kichaka cha kujifichia tu kwa kuwa mwajua hakuna uponyajiMwamposa Kama Una Imani unapona
Kwamba Magembe kusema buldoza tapeli ni kumwonea wivu? Buldoza na Magembe utumishi wao haifanani, na Magembe hayupo kumake money Bali apenda watu waokolewe.Kuna mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe.
Nianze kwa ku declare interest.
Am neither a Christian nor a Muslim.
Mimi sio Mkristu wala si muislamu.
Ingawa nimezaliwa sio tu kwenye familia ya kiislamu bali natoka kwenye kabila ambalo asilimia 99.9 ni waislamu.
So huko mtaani naweza kuwa nadhaniwa ni muislamu kutokana na majina yangu etc.
However sina noma na uislamu
Sina noma na ukristu. Naziheshimu imani hizo mbili pamoja na watu wake wote.
Nimetoka kwenye dini hizo ambazo zimeletwa na wageni kutoka nje ya Afrika kwa sababu nilijipima na kujiona hakuna mahala popote ambapo mafundisho ya dini hizo yanasimama pamoja na Mimi wala mahali ambapo Mimi ninasimama na dini hizo.
Nikiweka kwenye kiingereza unaweza kunielewa vizuri zaidi. I have left foreign religions cause I dont see anywhere where they stand with me or rather where I stand with them.
Dini yangu ninayo ifuata which is my own creation ni " Nuru/ Mwangaza"
Ni mfuasi wa Nuru. Ninaifuata Nuru bila kujali nani kaibeba.
I am a desciple of the Light. I follow the Light without giving a heck who carries the it
Tuje kwa ishu ya Mwamposa.
Huko mtaani kuna kanuni moja ambayo huwezi fundishwa shule inasema hivi
" Ukiona mtu anatengeneza hela nyingi kuliko wewe more especially kwenye biashara ile ile unayo ifanya wewe tafsiri yake ni kwamba mtu huyo ana akili nyingi kushinda wewe kwa sababu pesa hutafutwa kwa kutumia akili"
So lazima umuheshimu mtu alie kuzidi Cause he knows that which thou know not.
Niliwahi kuandika hapa before kwamba Mwamposa anapaswa kuheshimiwa kwa sababu ana kitu ndani yake ambacho wengi hawana.
Anajua vitu vingi kuliko wengi ndio maana anafanikiwa zaidi kwenye huduma yake kushinda wengine.
Nimenotice kwamba watu wengi ambao wanamsema vibaya Mwamposa huishia kuanguka kwenye mambo wanayo yafanya.
Ni kama vile kuna malaika ambao wamekuwa appointed kushindana na wale ambao wanashindana nae.
Mifano kadhaa. Kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kuongea shit kuhusu Mwamposa baada ya sakata la vifo kule Moshi, hakuchukua round she was called to meet with the Lord.
Mazinge mara nyingi amekuwa akimponda Mwamposa sasa hivi ame retard.
Anashirikiana na watu wanao uchafua uislamu hadharani..
Anapingana na mafundisho ya Qur'aan hadharani .
Mazinge huyu huyu ambae kuna kipindi alikuwa ana act as if he was the Deputy to the Prophet ( Peace be upon him) now anafanya vitu ambavyo hata Mimi ambae nilikuwa muumini wa kawaida tu siwezi kufanya.
Nikikumbuka Mazinge alivyo kuwa anamchana Mzee Yusufu baada ya kurudi kwenye Taarab na vitu anavyo fanya sasa hivi napigwa na butwaa.
Soon mtasikia Mazinge kawa mlokole just mark my words.
As far as his place in Islam is concerned, Mazinge is going down in a hurry.
MCH. MOSES MAGEMBE.
Kwa muda wa miaka miwili Mzee Moses Magembe amekuwa akimponda sana Mwamposa kwa mafumbo yeye na huduma yake.
Now amejitoa TAG na sababu kubwa itakuwa ni Maslahi tu hakuna cha kusema kanisa limekufa blah blah blah.
Ni kwamba ipo wazi kama ya mbuzi watu wake wa karibu watakuwa wamemjaza kwamba sasa hivi wewe tayari ni maarufu kwenye mitandao ya kijamii. Toka TAG anzisha kanisa lako.
Ndio maana mara baada ya kanisa lake kuanza he is braging kwamba ana wafuasi mia 7..
Why talking about the numbers?
Watu wake wa karibu hawaja mjulisha Mzee we watu kwamba watu wanampenda kwa sababu ya ile lafudhi yake ya kisukuma na mannerisms za wachungaji wa kilokole wa kizamani plus style yake ya kuongea kwa kufoka lakini huwa hana mahubiri ya maana kihivyo zaidi ya kuponda wachungaji wenzake...
Kauli ya askofu wa TAG baada ya Magembe kuasi Team Magembe wanatakiwa kuitafakari sana.
Alisema hivi tairi likichomoka kwenye gari kipi kinacho enda mwendo mrefu zaidi kati ya tairi lililochomoka na gari?
Mzee Magembe muombe radhi Mwamposa fanya hivyo hadharani vinginevyo utaenda kuaibika maana mwisho wa siku na wewe utaanza kutoa huduma ya kukanyaga mafuta kwenye kanisa lako ambayo umekuwa ukiiponda sana.
Thanks me later
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mwamposa anafanya vitu vingi vizuri ambavyo dunia inavihitaji ndio maana anakuwa rewarded.
Kwanza anawaunganisha watu bila kujali tofauti ya dini zao.
Pili anawapa matumaini watu waliokata tamaa
Mazinge kafanya nini?Kuna mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe.

Wewe na Mwamposa mpo cult moja nawaelewa vizuri tu.Kuna mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe.

Swali je ni nguvu ya Mwanga au Giza?Jambo Moja ambalo Nina uhakika nalo ..ni kua mwamposa ana nguvu..Tena nguvu kubwa..Tena wasimchezee
Aunt yangu ni mfuasi wa mwamposa miaka minne sasa lakini kila siku matatizo hasa ya kuugua hayaishi nilishamwambia tatizo unamwamini mwamposa kuliko Mungu na hutoona mabadilikoMwamposa anafanya vitu vingi vizuri ambavyo dunia inavihitaji ndio maana anakuwa rewarded.
Kwanza anawaunganisha watu bila kujali tofauti ya dini zao.
Pili anawapa matumaini watu waliokata tamaa
Mambo ni mengi kwelikweli! Siku hizi hata maaskofu wana machawa!!! Kumbuka palipo na usafi chawa hakai (haishi)...!Ngoja wafuasi wa mwamposa waje wakupe ya rohoni
Na viongozi wote wanaoenda pale wanapata vyeo na nafasi nzuri.mfano makonda alipofulia alienda pale. Chalamila alipotumbuliwa alienda pale na wengine wengi sahivi wote wanamashavu ya maana..Kuna mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe.