Namuona Mwamposa nyuma ya anguko la kiroho la Mch. Moses Magembe na Ustaz Mazinge

Namuona Mwamposa nyuma ya anguko la kiroho la Mch. Moses Magembe na Ustaz Mazinge

Mtumish inasema kwamba wewe ni muumini wa Nuru halafu hapo hapo unapinga kuwa wewe siyo mkristo

Nuru ni YESU KRISTO MFALME WA WAFALME

Kwahiyo kama wewe ni muumini wa Nuru bas kaa ukijua kuwa wewe ni mfuasi mtiifu wa YESU KRISTO

YESU KRISTO anakupenda sana karibu kwa BWANA tujiunge wote kkkt
Umemaliza kila kitu,barikiwa
 
Aunt yangu ni mfuasi wa mwamposa miaka minne sasa lakini kila siku matatizo hasa ya kuugua hayaishi nilishamwambia tatizo unamwamini mwamposa kuliko Mungu na hutoona mabadiliko
Mwamposa wamemfanya Mungu wao!
Dada yangu mwaka jana alitaka kuja kutokea Kahama lakini nikamwambia wewe umeshindwa kumwamini Mungu unamwamini Mwamposa hutapata matokeo!
Omba mwenyewe na ujenge inamani yako juu ya Kristo Yesu mambo yote yanawezekana kuliko kutumia pesa nyingi kumfata Mwamposa ambeye ni
Mwanadama na legitimacy yake inatiliwa mashaka!
 
Mwamposa ni balaaaa, ila kuunganisha shida za watu wengine kisa kumsema Mwamposa huo ni uongo, kwasababu kuna watu wanamtukana kabisaa Mungu na wanapiga pesa, toa akili yako kwenye jela ya Mwamposa
 
Kuna mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe.

Nianze kwa ku declare interest.

Am neither a Christian nor a Muslim.

Mimi sio Mkristu wala si muislamu.

Ingawa nimezaliwa sio tu kwenye familia ya kiislamu bali natoka kwenye kabila ambalo asilimia 99.9 ni waislamu.

So huko mtaani naweza kuwa nadhaniwa ni muislamu kutokana na majina yangu etc.

However sina noma na uislamu
Sina noma na ukristu. Naziheshimu imani hizo mbili pamoja na watu wake wote.

Nimetoka kwenye dini hizo ambazo zimeletwa na wageni kutoka nje ya Afrika kwa sababu nilijipima na kujiona hakuna mahala popote ambapo mafundisho ya dini hizo yanasimama pamoja na Mimi wala mahali ambapo Mimi ninasimama na dini hizo.

Nikiweka kwenye kiingereza unaweza kunielewa vizuri zaidi. I have left foreign religions cause I dont see anywhere where they stand with me or rather where I stand with them.

Dini yangu ninayo ifuata which is my own creation ni " Nuru/ Mwangaza"

Ni mfuasi wa Nuru. Ninaifuata Nuru bila kujali nani kaibeba.

I am a desciple of the Light. I follow the Light without giving a heck who carries the it

Tuje kwa ishu ya Mwamposa.

Huko mtaani kuna kanuni moja ambayo huwezi fundishwa shule inasema hivi

" Ukiona mtu anatengeneza hela nyingi kuliko wewe more especially kwenye biashara ile ile unayo ifanya wewe tafsiri yake ni kwamba mtu huyo ana akili nyingi kushinda wewe kwa sababu pesa hutafutwa kwa kutumia akili"

So lazima umuheshimu mtu alie kuzidi Cause he knows that which thou know not.

Niliwahi kuandika hapa before kwamba Mwamposa anapaswa kuheshimiwa kwa sababu ana kitu ndani yake ambacho wengi hawana.

Anajua vitu vingi kuliko wengi ndio maana anafanikiwa zaidi kwenye huduma yake kushinda wengine.

Nimenotice kwamba watu wengi ambao wanamsema vibaya Mwamposa huishia kuanguka kwenye mambo wanayo yafanya.

Ni kama vile kuna malaika ambao wamekuwa appointed kushindana na wale ambao wanashindana nae.

Mifano kadhaa. Kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kuongea shit kuhusu Mwamposa baada ya sakata la vifo kule Moshi, hakuchukua round she was called to meet with the Lord.

Mazinge mara nyingi amekuwa akimponda Mwamposa sasa hivi ame retard.

Anashirikiana na watu wanao uchafua uislamu hadharani..

Anapingana na mafundisho ya Qur'aan hadharani .

Mazinge huyu huyu ambae kuna kipindi alikuwa ana act as if he was the Deputy to the Prophet ( Peace be upon him) now anafanya vitu ambavyo hata Mimi ambae nilikuwa muumini wa kawaida tu siwezi kufanya.

Nikikumbuka Mazinge alivyo kuwa anamchana Mzee Yusufu baada ya kurudi kwenye Taarab na vitu anavyo fanya sasa hivi napigwa na butwaa.

Soon mtasikia Mazinge kawa mlokole just mark my words.

As far as his place in Islam is concerned, Mazinge is going down in a hurry.

MCH. MOSES MAGEMBE.

Kwa muda wa miaka miwili Mzee Moses Magembe amekuwa akimponda sana Mwamposa kwa mafumbo yeye na huduma yake.

Now amejitoa TAG na sababu kubwa itakuwa ni Maslahi tu hakuna cha kusema kanisa limekufa blah blah blah.

Ni kwamba ipo wazi kama ya mbuzi watu wake wa karibu watakuwa wamemjaza kwamba sasa hivi wewe tayari ni maarufu kwenye mitandao ya kijamii. Toka TAG anzisha kanisa lako.

Ndio maana mara baada ya kanisa lake kuanza he is braging kwamba ana wafuasi mia 7..

Why talking about the numbers?

Watu wake wa karibu hawaja mjulisha Mzee we watu kwamba watu wanampenda kwa sababu ya ile lafudhi yake ya kisukuma na mannerisms za wachungaji wa kilokole wa kizamani plus style yake ya kuongea kwa kufoka lakini huwa hana mahubiri ya maana kihivyo zaidi ya kuponda wachungaji wenzake...

Kauli ya askofu wa TAG baada ya Magembe kuasi Team Magembe wanatakiwa kuitafakari sana.

Alisema hivi tairi likichomoka kwenye gari kipi kinacho enda mwendo mrefu zaidi kati ya tairi lililochomoka na gari?

Mzee Magembe muombe radhi Mwamposa fanya hivyo hadharani vinginevyo utaenda kuaibika maana mwisho wa siku na wewe utaanza kutoa huduma ya kukanyaga mafuta kwenye kanisa lako ambayo umekuwa ukiiponda sana.

Thanks me later

🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

unamsifu mwizi kuiba vizuri? kweli kama dunia tumefika mbali!
 
Taasisi nyingi siku hizi zinatumia mawakala. Kwa hiyo hata huyo Mjanja wa kawe kuwa na mawakala haishangazi
 
Mwamposa anafanya vitu vingi vizuri ambavyo dunia inavihitaji ndio maana anakuwa rewarded.

Kwanza anawaunganisha watu bila kujali tofauti ya dini zao.


Pili anawapa matumaini watu waliokata tamaa
Mwamposa na uchawi wa sirini, mch Magembe hawezi kuwa na anguko lolote, nenda kanisani kwake ukaone kulivyo
 
Yaani na kingeraza chako hicho umetaka kutuchota ila imegoma bwana😁😁😁😁

Bro nakuheshimu sana ila hapa nakupinga na SPANA unakula🤗

Nimeishia hapo ulipoanza kumsifia tapeli wa Kawe.

Uko kwenye kutoamini dini za kuletewa sina shida napo shida inakuja hapo unapoanza kuamini kupata mafanikio kwa kuombewa na kupakwa mafuta, ebu tudadavulie MSINGI wa imani yako katika huu UPOTOFU!!!

Mantiki inakataa kuwa huyo tapeli wa imani anayoyafanya ni ya kweli.

1.Kufanya viwete na vilema watembee,kuona nk. Sayansi inagoma akili inakataa.

2. Kuwaponya wagonjwa wa magonjwa haya ya Hospitali,tapeli hana ushahidi!!!

3.Kutoa mafanikio bila kufanya kazi bali kwa kuombewa!!!

nk.
 
Mama zenu dada zenu na wake zenu kilasiku wanakimbilia kwa Mwamposa... Ila nashangaa mnavyozidi kumtukana kumsema mnyakyusa wa watu ndio kwanza anapelekewa sadaka hadi na Rais 😅😂😂
WaTz mnakufa kwasababu ya umasikini chuki makasiriko wivu na kukosa elimu...💩💩💩
Ukiona wewe ili kuhalalisha jambo unaangalia nani kafanya au idadi ya watu wliolifanya anza kujitafakari, kwanini unabeba hicho kichwa kama helmet.

Msingi wa mema na mabaya ni kujua kujenga hoja kutokana na ukweli/ facts.

Amka toka usingizini na uanze kutumia akili yako vizuri.
 
Taifa linaangamia kwa wajinga kupewa airtime!!!

Wasomi wanachangia hili kwa kukaa pembeni na kuacha wajinga na vichaa ndo washike usukani😭😭😭
 
Huyu Mleta Mada Akili Kichwani Zimesafiri.Chanzo Changu Ni Thread Zake Anazoziandika,Mtu yoyote Akishaanza Kujisifu Kwa Mambo Ya Hovyo Huyo Dishi Ujue Limeyumba Kwa Hiyo Hii Mada Inapita Mule mule .
 
Mtumish inasema kwamba wewe ni muumini wa Nuru halafu hapo hapo unapinga kuwa wewe siyo mkristo

Nuru ni YESU KRISTO MFALME WA WAFALME

Kwahiyo kama wewe ni muumini wa Nuru bas kaa ukijua kuwa wewe ni mfuasi mtiifu wa YESU KRISTO

YESU KRISTO anakupenda sana karibu kwa BWANA tujiunge wote kkkt
Amina
 
Ukiona wewe ili kuhalalisha jambo unaangalia nani kafanya au idadi ya watu wliolifanya anza kujitafakari, kwanini unabeba hicho kichwa kama helmet.

Msingi wa mema na mabaya ni kujua kujenga hoja kutokana na ukweli/ facts.

Amka toka usingizini na uanze kutumia akili yako vizuri.
Kwahio unachukia unataka hadi kutokwa roho kwa chuki na wivu kuona Mwamposa anafuatwa na mama yako dada zako na mkeo..? Unataka facts zipi sasa kijana wangu wakati mtu mnaye mtukana na kutamani afe au adondoke ndio kwanza hadi watu wasio wa dini yake wanaenda kwake kupata msaada? Watu hadi kutoka nchi za Africa Asia na Ulaya wanaenda Kawe kupata hitaji la moyo la Mungu wake...
Watanzania mnasumbuliwa na chuki wivu na ushirikina ndio maana mnakufa mapema, kazi yenu kushinda ktk mitandao kuwatukana watu waliofanikiwa...
WaTz wengi mmelaaniwa hamtakuja kufanikiwa
 
Nakuja kujibu nilikuwa busy na kidemu changu kipya kimezaliwa tarehe 8 January 2007. Jana kimefikisha miaka 18 nilikuwa nakula mema yake

Nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣

Hao dogo dogo unachagua walio na nyota au?

Why isiwe wa umri wako 😅🙌🏽
 
Nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣

Hao dogo dogo unachagua walio na nyota au?

Why isiwe wa umri wako 😅🙌🏽
Yes wa nyota.

Duh yani nisex na mwanamke aliezaliwa mwaka 1985?

Like seriously?
 
Back
Top Bottom