Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

Vijan wasikuhz
Ushamwambia una mke
bado haumpend
Anaviznga
Nb'-
Sababu zote za kumuach unazo alafu unaulza nn?
 
Poteza cm, upatkanaji wako utakuwa mgum labda akufuate unapoishi, bado itafika time atachoka na taratbu mtajenga distance
 
Vijan wasikuhz
Ushamwambia una mke
bado haumpend
Anaviznga
Nb'-
Sababu zote za kumuach unazo alafu unaulza nn?
[emoji120][emoji120]nimeambiwa nipunguze mawasiliano naye, natumai itasaidia
 
Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee.

Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa.
Acha usanii hakunaga urafiki wa amani Kati ya chui na swala
 
Utoto ni raha sana, mbona ni rahisi sana kuepukana naye ni kitendo tu cha kupunguza mawasiliano mdogomdogo.
 
Back
Top Bottom