Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

Ohh course mate upo

Halafu nimeshangaa kweli nimeona kataja PECAM





Halafu by the way nimeskia misiba mingi kwenye collage yetu



Mungu awalaze mahali pema peponi [emoji26][emoji120]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
hilo jina PECAM,ndio hasa limenifanya nijue huyu ni SUASO,😂😂.

College yetu Mungu aingilie kati kwa kweli,inaogopesha
 
Back
Top Bottom