Namuulizia aliyekuwa Waziri wa mkapa, Basili Mramba yuko wapi?

Alikufa kwa covid
Namuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe,
Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na uhaba wa chakula
 
He's no more.
Rest Easy Brazil,
Ulituwekea reli tokea marangu mtoni hadi rombo
 
Unajua watoto/Family kaachia utajiri wa TZS?????
Unajua kaacha US $???
Watoto/Family yake ni Matajiri hata wakilala Full time.
Hamna tatizo wazee wenzake aliowacha wanakula nyasi mpaka leo wanadunda, hizo U.S.D zake zilishindwa kumsaidia asife
 
Namuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe,
Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na uhaba wa chakula
Pole kwa majukumu ya huko Kongo, karibu nyumbani.
Yaani mtu unayo simu ya laki sita kisha unaulizia kitu cha bure!
 
Namuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe,
Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na uhaba wa chakula
Ni marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…