Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Yani mpaka leo sijawahi kuona hiyo movie ambayo mwanaume anampiga denda mwanaume mwenzie.
So nadhani mtu akijifanya yuko bize sana na mamovie ya hao wapuuzi ndio atakumbana na hayo mambo.
Kama mnaangalia movie zao msiwapangie waweke scene gani,kubwlianeni na matokeo hayo kwa sababu hakuna anayewalazimisha kutizama.
Mbona sisi wengine wazee wataarifa ya habari na vipindi vya kijamii pale ITV na TBC hatukutani na hayo mambo ?
Mwana kulitafuta mwana kulipata.
Mbona kimya umeamua kumkana Papa wako na ndoa za jinsia moja?Movie zetu za akina mzee kikala , kombolela, beki tatu na the likes. Utayaona wapi hayo
Let's say Papa ataangukia ktk kundi hili!ktk hizo imani wapo baadhi ya watu wanao-support huu upumbavu kama ikawa waislam au wakristo sasa sijui unataka nini,tuachane na hayo.
Issue ya Idrisa umeshaelewa kwamba alituwakilisha sisi Waafrica kwa pamoja hata wale wasiokuwa na dini hizi za kuletewa?
Vipi umekimbia?uje huku kutetea ndoa za jinsia moja.Sheri za Dini ya kiislamu hazitetewi na mtu au watu,kwani Mwenyezi Mungu akiweka sheria ya kukataza kitu,hakuna mtu wa kupinga au akiruhusu kama kuoa wake zaidi ya mmoja hakuna mtu wa kukatazaMovie zetu za akina mzee kikala , kombolela, beki tatu na the likes. Utayaona wapi hayo
Serikali yetu inaangalia tu haya???
Pesa anazolipwa zinahusiana vipi na ushogaUsilazimishe mambo kuwa tofauti na yalivyo!
Analipwa kwa kucheza mpira the issue ni wanaomlipa mshahara wanaamini kwa kile anachokipinga yeye?wao wanaamini ushoga ni ruksa yeye kama kweli halitaki hilo basi akatae na hizo pesa zao.
Kwani huo ni uzushi? Si ameongea kiongozi wako wa dini? Ikiwezekana fungua uingie ndani zaidi uone alichoongea nini?Serikali yetu inaangalia tu haya???
BBC ndio habari zao hizo kila siku
Inamana wao walitunga? au walimnukuu vibaya,akisema,msitete ujinga jamani,au kwa nini yeye asiseme alinukuliwa vibaya.Wewe kama umeamua kumkiri kiongozi wako basi kubalina na misimamo yake ili siku ya siku muhukumiwe wote kwa yale aliyokuwa anayafanya kwa niaba yenu,na kama hukubaliani naye tengana naye sasa hivi utafute njia ya kweli itakayo kusalimisha na kukuokoaBBC ndio habari zao hizo kila siku
Aisee Arabs brought curse and distraction to midsized thinking Africans...Pardon my language... yaani jamaa anakupa reference wewe hutaki unataka mwajiriwa na si mmiliki...mwenye uwezo wa kulipinga hilo kabla halijawa tatizo ni nani?Nje ya mada hyo nataka aliyempokea bwana anayepinga hayo mambo wote wapo kimya.
Siku nikisikia inatangazwa rasmi kanisani kuwa kuanzia sasa ndoa za jinsia moja ruksa,au nikashudia padri anafungisha ndoa hizo ndio itakuwa mwisho wa kusali hilo kanisaInamana wao walitunga? au walimnukuu vibaya,akisema,msitete ujinga jamani,au kwa nini yeye asiseme alinukuliwa vibaya.Wewe kama umeamua kumkiri kiongozi wako basi kubalina na misimamo yake ili siku ya siku muhukumiwe wote kwa yale aliyokuwa anayafanya kwa niaba yenu,na kama hukubaliani naye tengana naye sasa hivi utafute njia ya kweli itakayo kusalimisha na kukuokoa
Hivi ile dini nyingine wao ushoga kwao umeruhusiwa maana hakuna mfuasi wao hata mmoja anayepinga haya mambo.
lakini jezi ya kutangaza pombe anavaa
Ila anavuta helaza wanaounga ushoga
Pole sana,nimechekee sana,inawezekana hiyo siku isifike halafu wewe ukawa wa kwanza kufa kabla ya kushuhudia hiyo siku basi utaenda kuhukumiwa kama ulliidhia ndoa ya jinsia mojaSiku nikisikia inatangazwa rasmi kanisani kuwa kuanzia sasa ndoa za jinsia moja ruksa,au nikashudia padri anafungisha ndoa hizo ndio itakuwa mwisho wa kusali hilo kanisa
Wanalazimisha watu waone ushoga ni kitu Cha kawaida lakin nature inakataa kabsaKabla hata ya ku refer dini namuunga mkono Idrissa
Mashoga mnalazimisha sana watu wawaunge mkono sijui kwa nini
Kama kuolewa si muolewe tu kwani kuna mtu kawazuia?