Namwambiaje huyu binti wa miaka 19 kuwa sina malengo nae?

Rajabmbisha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2024
Posts
316
Reaction score
530
Amani iwe nanyi Wana JF, ipo hivi: nipo kwenye mahusiano na binti mmoja hapa mtaani kwetu. Tumekuwa tukidate kwa wiki mbili sasa. Mwanzoni alionekana mgumu sana kunielewa, lakini baada ya kukaza juhudi, hatimaye alinikubali.

Katika jitihada za kumshawishi, nilimuahidi kumuoa, na hapo ndipo nilipojichanganya, maana aliamini nitamuoa kweli. Lengo langu halikuwa hilo; nilikusudia kupita tu, na tayari nimeshafanikisha hilo. Hata usiku wa leo amelala kwangu.

Tatizo ni kwamba binti huyu amenipenda kupita kiasi, lakini mimi sina mpango naye. Ni binti mdogo mwenye umri wa miaka 19 tu. Sasa sijui nianzie wapi kumweleza kwamba sina malengo naye, bila kumuumiza.

Naomba mawazo yenu Wana JF, ushauri wenu ni muhimu.
 
Kama ulikuta zero kilometer oa mkuu ....kma used pita kama wengine walivopita
 

Kama sio pundamilia wewe chakata akibeba mimba atajua mwenyewe. Wanawake sio wa kuwaonea huruma hata kidogo
Daah kwa huyu siwez mfanyia hivyo,
 
unapofanya hayo kumbuka una wadogo zako pia na zaidi sana nawe utazaa mabinti Karma is real buy time 🙏
 
Ahadi ni deni.

Muoe tu mkuu.
 
Umri wako please? usihofu lakini Ata huku mimi Niko na yule mdogo wako wa kike namchezea soon tu namuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…