Namwambiaje huyu binti wa miaka 19 kuwa sina malengo nae?

Halafu baadaye ukija kutaka kuoa ukakosa mke mwema, na wewe utaanza kulalamika kwamba wanawake wa siku hizi hawajitunzi na hawajiheshimu, hivyo hawafai kuoa
 
Njia murua na yenye gharama ni kuanza kumzoesha vitu kadhaa kama starehe na kumuhonga alafu ghafla usitishe mazoea hayo. Yeye mwenyewe atakuacha na kuanza kuzitafuta huduma kwingine.
 
Sawa mvulana
 
muue
 
Hivi Huwa mnawaza kabla hamjachezea mabinti za watu, Binti yako akifanyiwa hayo unayofanya utajiskiaje!?. Mtu amchezee Kisha ambwage.
 
Naomba namba zake mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…