Namwambiaje huyu binti wa miaka 19 kuwa sina malengo nae?

Hebu ni PM namba yake mkuu nikusaidie kumwambia
 
Amani iwe nanyi Wana JF, ipo hivi: nipo kwenye mahusiano na binti mmoja hapa mtaani kwetu. Tumekuwa tukidate kwa wiki mbili sasa. Mwanzoni alionekana mgumu sana kunielewa, lakini baada ya kukaza juhudi, hatimaye alinikubali.

Katika jitihada za kumshawishi, nilimuahidi kumuoa, na hapo ndipo nilipojichanganya, maana aliamini nitamuoa kweli. Lengo langu halikuwa hilo; nilikusudia kupita tu, na tayari nimeshafanikisha hilo. Hata usiku wa leo amelala kwangu.

Tatizo ni kwamba binti huyu amenipenda kupita kiasi, lakini mimi sina mpango naye. Ni binti mdogo mwenye umri wa miaka 19 tu. Sasa sijui nianzie wapi kumweleza kwamba sina malengo naye, bila kumuumiza.

Naomba mawazo yenu Wana JF, ushauri wenu ni muhimu.
Pumbavu kabisa ww
 
Wewe una miaka mingapi?...mbona hujibu?
 
Hivi huwa mnaawahidi kuwaoa ili iweje
Demu kabla ya kukukubalia anakuuliza "una malengo gani kwanza na Mimi?"

Hebu vaa uhusika wa jamaa mwenye uchu kwelikweli ya nyapu ya huyo demu, tena ukute hio nyapu umeshaisotea kwa miezi kadhaa, halafu jibu la Hilo swali ndio litakalopelekea wewe kupewa au kunyimwa hio nyapu.
 
Back
Top Bottom