Namwambiaje mume wangu kuwa huu sio ujauzito wake?

Rayamikhal

Senior Member
Joined
Sep 14, 2026
Posts
110
Reaction score
207
Habarini wapendwa na Jamii forum😂 nimekumbuka hii story nikaona ni vyema nikishare na nyie.

Nilikuwa na rafiki yangu ambae kwasasa ikitokea nikapoteza mawasiliano na yeye. Rafiki yangu alikuwa na mahusiano na mwanaume aliempenda sana hehe kiukweli nadhani walipendana kwa jinsi nilivyokuwa nawaona.

Siku zimeenda sana akagundua aliempenda alikuwa ni mume wa mtu ikabidi aachane nae tu, uzuri nimebahatika kuwa na marafiki mashujaa. Baada ya kurejea kijijini kwao alilazimishwa kuolewa na mtu asiemfahamu kabisa. Kwasababu alikuwa amekata tamaa alikubali, tukala wali😅.

Baada ya mwezi mmoja rafiki yangu akanitafuta na kusema yeye ni mjamzito wa miezi 2 na nusu.
Kwa Kijiji anachoishi hawajui Mambo ya kuhesabu wala kuzingatia kwamba huu ujauzito ni wa baba mtoto au lah! Na mpaka hapo najua mshaelewa ujauzito ni wa nani!

Kama ungekuwa wewe ndio mme wa mtu, au mume wa rafiki yangu, au rafiki yangu, au angekuwa ndugu yako ungefanyaje/ungemshauri kitu gani?

~rayamikhal
 
Habarini wapendwa na Jamii forum😂 nimekumbuka hii story nikaona ni vyema nikishare na nyie.
Nilikuwa na rafiki yangu ambae kwasasa ikitokea nikapoteza mawasiliano na yeye. Rafiki yangu alikuwa na mahusiano na mwanaume aliempenda sana hehe kiukweli nadhani walipendana kwa jinsi nilivyokuwa nawaona. Siku zimeenda sana akagundua aliempenda alikuwa ni mume wa mtu ikabidi aachane nae tu, uzuri nimebahatika kuwa na marafiki mashujaa. Baada ya kurejea kijijini kwao alilazimishwa kuolewa na mtu asiemfahamu kabisa. Kwasababu alikuwa amekata tamaa alikubali, tukala wali😅. Baada ya mwezi mmoja rafiki yangu akanitafuta na kusema yeye ni mjamzito wa miezi 2 na nusu.

Aisee
 
Muda mfupi ujao ukumbuke kutuletea uzi wa rafiki yako kula shaba tuomboleze wote kama familia!🫢🫢🫢🫢
 
😅 dah! Aisee. Mimi kwa upande wangu nilimshauri akae kimya kabisaa ajifanye ni ya mme wake maana kama mawasiliano na mme wa mtu Hana Tena na hawezi kumsaidia chochote kile, na mume wake akijua sio mimba yake sizani kama atamuelewa kwaiyo avunge tu
 
89630BED-6B93-4CFC-BF4C-C6D3B3606928.jpeg
 
😅 dah! Aisee. Mimi kwa upande wangu nilimshauri akae kimya kabisaa ajifanye ni ya mme wake maana kama mawasiliano na mme wa mtu Hana Tena na hawezi kumsaidia chochote kile, na mume wake akijua sio mimba yake sizani kama atamuelewa kwaiyo avunge tu
Pembe la ng'ombe halifichiki! muulize mzanzibar anavohangaika baada ya kusaga roho za watoto wa watanganyika tume kama zote na hazisaidii! Endeeleni mtafika tu si tupo tutawasikiliza tu
 
Back
Top Bottom