Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Mimba ya maiezi 2 inatoka bila shida
Unawaruka hawataamini macho yao, teena mkavu km macho ya dagaa sikuwa na mtu miye km mtoto hamumtaki sawa.Akijifungua tu watajua wamama wa vijijini ni Super Scanner.
Lakini hili jambo sio geni na linatokea sana kwanini wewe ulichukulie kama limekutokea wewe tu na usijiandae kisaikolojia kwamba anything can happen, mtu mmekutana ukubwani sio guarantee atakuwa vile wewe unataka awe..!Inauma sana, just imagine unamlisha, unamlisha,, inajibana unampa yeye, unawaacha wazazi wako kumudu mahitaji yake nk halafu analombwa na mtu kwa ridhaa yake. Anaikalia, anabinua miguu juu akiichanua, anaweka kichumba mboga, inachomoka anairudishia au kabisa inachomoka anaitia mdomoni. Vaa hivyo viatu