Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
KitumbuaMbunye ndio vinini mkuu
KitumbuaMbunye ndio vinini mkuu
Mbona ndio haohao tu unafanya kuzunguka mulemule, njoo story lounge 😁Hapo sitiii neno ngoja waje wa Malindi, Red Stone au Black Diamond acha mimi nikawinde watoto wa Ushirika, MWECAU au Majengo.
Huku kitumbua ni 200/= tu mkuu, kwani wapi huko mnauziwa 3k?Kitumbua
Mtumeeeeeee!!!! Tumekatazwaaa.Mbona ndio haohao tu unafanya kuzunguka mlemle, njoo story lounge 😁
Huku vingine vina mayai kabisaHuku kitumbua ni 200/= tu mkuu, kwani wapi huko mnauziwa 3k?
Kazaaa😁Mtumeeeeeee!!!! Tumekatazwaaa.
Aaaaah!!! hapo sawa mkuu...Huku vingine vina mayai kabisa
Still in your prime 😊🔥
Ishawahi kukutokea hii lo???
Ni kijiji gani hicho unaoa mke halafu anajifungua wakati wowote kama panya na hawajui kuhesabu? Labda uarabuni huko.Habarini wapendwa na Jamii forum😂 nimekumbuka hii story nikaona ni vyema nikishare na nyie.
Nilikuwa na rafiki yangu ambae kwasasa ikitokea nikapoteza mawasiliano na yeye. Rafiki yangu alikuwa na mahusiano na mwanaume aliempenda sana hehe kiukweli nadhani walipendana kwa jinsi nilivyokuwa nawaona.
Siku zimeenda sana akagundua aliempenda alikuwa ni mume wa mtu ikabidi aachane nae tu, uzuri nimebahatika kuwa na marafiki mashujaa. Baada ya kurejea kijijini kwao alilazimishwa kuolewa na mtu asiemfahamu kabisa. Kwasababu alikuwa amekata tamaa alikubali, tukala wali😅.
Baada ya mwezi mmoja rafiki yangu akanitafuta na kusema yeye ni mjamzito wa miezi 2 na nusu.
Kwa Kijiji anachoishi hawajui Mambo ya kuhesabu wala kuzingatia kwamba huu ujauzito ni wa baba mtoto au lah! Na mpaka hapo najua mshaelewa ujauzito ni wa nani!
Kama ungekuwa wewe ndio mme wa mtu, au mume wa rafiki yangu, au rafiki yangu, au angekuwa ndugu yako ungefanyaje/ungemshauri kitu gani?
~rayamikhal
Mtu kama huyo mleta unaachaje kumcharaza mapanga?
Kwanini uchafue mikono yako na wanawake hawajaisha?Mtu kama huyo mleta unaachaje kumcharaza mapanga?
Inauma sana, just imagine unamlisha, unamlisha,, inajibana unampa yeye, unawaacha wazazi wako kumudu mahitaji yake nk halafu analombwa na mtu kwa ridhaa yake. Anaikalia, anabinua miguu juu akiichanua, anaweka kichuma mboga, inachomoka anairudishia au kabisa inachomoka anaitia mdomoni. Vaa hivyo viatuKwanini uchafue mikono yako na wanawake hawajaisha?
MtihaniHabarini wapendwa na Jamii forum😂 nimekumbuka hii story nikaona ni vyema nikishare na nyie.