Hizo elfu 3 3 nazo ni za kupiga mtu chuma? Basi mtakuwa mna shida nyinyi!🙄Mambo ya bei elekezi & kudhulumiana.
Hapana mimi ni mkubwa sana kwako mdogo wangu mana nina uhakika hujavuka 35. 😊Sijambo! Ila hiyo spirit ya kujiamini hivyo na kujiona mkubwa wangu umeitoa wapi?
Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu, huu msemo niliuona sehem nikaudhika sanaHabarini wapendwa na Jamii forum😂 nimekumbuka hii story nikaona ni vyema nikishare na nyie.
Nilikuwa na rafiki yangu ambae kwasasa ikitokea nikapoteza mawasiliano na yeye. Rafiki yangu alikuwa na mahusiano na mwanaume aliempenda sana hehe kiukweli nadhani walipendana kwa jinsi nilivyokuwa nawaona.
Siku zimeenda sana akagundua aliempenda alikuwa ni mume wa mtu ikabidi aachane nae tu, uzuri nimebahatika kuwa na marafiki mashujaa. Baada ya kurejea kijijini kwao alilazimishwa kuolewa na mtu asiemfahamu kabisa. Kwasababu alikuwa amekata tamaa alikubali, tukala wali😅.
Baada ya mwezi mmoja rafiki yangu akanitafuta na kusema yeye ni mjamzito wa miezi 2 na nusu.
Kwa Kijiji anachoishi hawajui Mambo ya kuhesabu wala kuzingatia kwamba huu ujauzito ni wa baba mtoto au lah! Na mpaka hapo najua mshaelewa ujauzito ni wa nani!
Kama ungekuwa wewe ndio mme wa mtu, au mume wa rafiki yangu, au rafiki yangu, au angekuwa ndugu yako ungefanyaje/ungemshauri kitu gani?
~rayamikhal
Yeah sijavuka sikatai ila nawewe hujavuka🤣Hapana mimi ni mkubwa sana kwako mdogo wangu mana nina uhakika hujavuka 35. 😊
Ohoo vizuri...Yeah sijavuka sikatai ila nawewe hujavuka🤣
Komwe huyo...Hivi huwa mnaandika mkiwa mnabamizwa mbunye au?
Nimesoma hata sijaelewa.
Ndio maana kwenye mitihani mnapataga DIVISHENI FOO
Cc: Seran loose Nut
Sokoni mali ni 3000?Hizo elfu 3 3 nazo ni za kupiga mtu chuma? Basi mtakuwa mna shida nyinyi!🙄
Yani hapo piga ua galaza sikubali!🤸🏽♂️Ohoo vizuri...
Nimebakisha takribani miaka mi 3 niingie 4th floor 😊.
Usini-approximate mdogo angu mzuri seran..
Mbona mbunye siku hizi zipo mpaka za buku tu na zingine mistari yako tu unablesiwa kiroho safi!😅Sokoni mali ni 3000?
Huyo ni ww kabisa unavunga nini axeeHabarini wapendwa na Jamii forum😂 nimekumbuka hii story nikaona ni vyema nikishare na nyie.
Nilikuwa na rafiki yangu ambae kwasasa ikitokea nikapoteza mawasiliano na yeye. Rafiki yangu alikuwa na mahusiano na mwanaume aliempenda sana hehe kiukweli nadhani walipendana kwa jinsi nilivyokuwa nawaona.
Siku zimeenda sana akagundua aliempenda alikuwa ni mume wa mtu ikabidi aachane nae tu, uzuri nimebahatika kuwa na marafiki mashujaa. Baada ya kurejea kijijini kwao alilazimishwa kuolewa na mtu asiemfahamu kabisa. Kwasababu alikuwa amekata tamaa alikubali, tukala wali😅.
Baada ya mwezi mmoja rafiki yangu akanitafuta na kusema yeye ni mjamzito wa miezi 2 na nusu.
Kwa Kijiji anachoishi hawajui Mambo ya kuhesabu wala kuzingatia kwamba huu ujauzito ni wa baba mtoto au lah! Na mpaka hapo najua mshaelewa ujauzito ni wa nani!
Kama ungekuwa wewe ndio mme wa mtu, au mume wa rafiki yangu, au rafiki yangu, au angekuwa ndugu yako ungefanyaje/ungemshauri kitu gani?
~rayamikhal
Mbunye ndio vinini mKuuHivi huwa mnaandika mkiwa mnabamizwa mbunye au?
Nimesoma hata sijaelewa.
Ndio maana kwenye mitihani mnapataga DIVISHENI FOO
Cc: Seran loose Nut
Nina dada yangu ana 40 kanizidi miaka mi 3 ila ukimuona ni kama ana 30.Yani hapo piga ua galaza sikubali!🤸🏽♂️
Haiwezekani steve, nasemajee..!!
Wewe ile pic naikumbuka bado unajua eeh🤣
Mbunye ndio vinini mkuuMbona mbunye siku hizi zipo mpaka za buku tu na zingine mistari yako tu unablesiwa kiroho safi!
Hapo sitiii neno ngoja waje wa Malindi, Red Stone au Black Diamond acha mimi nikawinde watoto wa Ushirika, MWECAU au Majengo.Mbona mbunye siku hizi zipo mpaka za buku tu na zingine mistari yako tu unablesiwa kiroho safi!😅
Huyo ni ww kabisa unavunga nini axee
Basi mpo vzr, mwenyewe Nimegoma kuzeeka😃Nina dada yangu ana 40 kanizidi miaka mi 3 ila ukimuona ni kama ana 30.
Naona labda ni genes tu.