Namwambiaje mume wangu kuwa huu sio ujauzito wake?

Namwambiaje mume wangu kuwa huu sio ujauzito wake?

Naona watu wanapandisha kisukari bure.

Mimba amepata kwa mume wa mtu.
Na ilikuwa kabla hajaolewa na huyo mume mpya wa kijijini.

Kwahiyo mdada hakuchepuka. Ilikuwa kabla hajaolewa.

Mm nashauri aitoe hiyo mimba.
 
Mshasamehewa si unaona Jana na leo hamna taarifa mbaya.
2D2C0AD3-89F0-4319-BD8B-B66FBE1B561E.jpeg
 
Naona watu wanapandisha kisukari bure.

Mimba amepata kwa mume wa mtu.
Na ilikuwa kabla hajaolewa na huyo mume mpya wa kijijini.

Kwahiyo mdada hakuchepuka. Ilikuwa kabla hajaolewa.

Mm nashauri aitoe hiyo mimba.

Bora wewe umenielewa Mkuu
 
Oohoo 😅 aisee
Mungu Mbabe Mnoo Mamii,,Akiamua Na Huwaga Hashindwi Kutoa Kitu Either Kikakushangaza Or Kukuvutia Sana...
Wewe Umenivutia Kati Ya Vile Vitu Vizuri,,Ambavyo Baba Muumba Aliamua Kuonyesha Ubabe Wake Katika Uumbaji...
Kama Hutojali Naomba Nikuweke Home Screen Wallpaper Katika Hii Simu Yangu Mpaka Hapo Tukapojaaliwa Kuumaliza Huu Mwaka 2026...Sawa Raya..!!
​
 
Back
Top Bottom