Rayamikhal
Senior Member
- Sep 14, 2026
- 110
- 207
Elezea vizuri na wewe, kwamba? Aliyempa ujauzito ni yule Mme wa mtu
Sasa avunge tu, kikimramba ndo akili nyingine itakuja😅 ndio, maana aligundua ni mjamzito wa miezi 2 na nusu wakati anamwezi mmoja toka ameolewa
Hivi huwa mnaandika mkiwa mnabamizwa mbunye au?
Nimesoma hata sijaelewa.
Ndio maana kwenye mitihani mnapataga DIVISHENI FOO
Cc: Seran loose Nut
ndoa ni hasara
AiseeHabarini wapendwa na Jamii forum😂 nimekumbuka hii story nikaona ni vyema nikishare na nyie.
Nilikuwa na rafiki yangu ambae kwasasa ikitokea nikapoteza mawasiliano na yeye. Rafiki yangu alikuwa na mahusiano na mwanaume aliempenda sana hehe kiukweli nadhani walipendana kwa jinsi nilivyokuwa nawaona. Siku zimeenda sana akagundua aliempenda alikuwa ni mume wa mtu ikabidi aachane nae tu, uzuri nimebahatika kuwa na marafiki mashujaa. Baada ya kurejea kijijini kwao alilazimishwa kuolewa na mtu asiemfahamu kabisa. Kwasababu alikuwa amekata tamaa alikubali, tukala wali😅. Baada ya mwezi mmoja rafiki yangu akanitafuta na kusema yeye ni mjamzito wa miezi 2 na nusu.
Kwa Kijiji anachoishi hawajui Mambo ya kuhesabu wala kuzingatia kwamba huu ujauzito ni wa baba mtoto au lah! Na mpaka hapo najua mshaelewa ujauzito ni wa nani!
Kama ungekuwa wewe ndio mme wa mtu, au mume wa rafiki yangu, au rafiki yangu, au angekuwa ndugu yako ungefanyaje/ungemshauri kitu gani?
~rayamikhal
Muda mfupi ujao ukumbuke kutuletea uzi wa rafiki yako kula shaba tuomboleze wote kama familia!🫢🫢🫢🫢Habarini wapendwa na Jamii forum😂 nimekumbuka hii story nikaona ni vyema nikishare na nyie.
Nilikuwa na rafiki yangu ambae kwasasa ikitokea nikapoteza mawasiliano na yeye. Rafiki yangu alikuwa na mahusiano na mwanaume aliempenda sana hehe kiukweli nadhani walipendana kwa jinsi nilivyokuwa nawaona. Siku zimeenda sana akagundua aliempenda alikuwa ni mume wa mtu ikabidi aachane nae tu, uzuri nimebahatika kuwa na marafiki mashujaa. Baada ya kurejea kijijini kwao alilazimishwa kuolewa na mtu asiemfahamu kabisa. Kwasababu alikuwa amekata tamaa alikubali, tukala wali😅. Baada ya mwezi mmoja rafiki yangu akanitafuta na kusema yeye ni mjamzito wa miezi 2 na nusu.
Kwa Kijiji anachoishi hawajui Mambo ya kuhesabu wala kuzingatia kwamba huu ujauzito ni wa baba mtoto au lah! Na mpaka hapo najua mshaelewa ujauzito ni wa nani!
Kama ungekuwa wewe ndio mme wa mtu, au mume wa rafiki yangu, au rafiki yangu, au angekuwa ndugu yako ungefanyaje/ungemshauri kitu gani?
~rayamikhal
Muda mfupi ujao ukumbuke kutuletea uzi wa rafiki yako kula shaba tuomboleze wote kama familia!🫢🫢🫢🫢
Utamu wa kubamizwa lazima uchanganye ngeli😁Hivi huwa mnaandika mkiwa mnabamizwa mbunye au?
Nimesoma hata sijaelewa.
Ndio maana kwenye mitihani mnapataga DIVISHENI FOO
Cc: Seran loose Nut
Muda mfupi ujao ukumbuke kutuletea uzi wa rafiki yako kula shaba tuomboleze wote kama familia!🫢🫢🫢🫢
Pembe la ng'ombe halifichiki! muulize mzanzibar anavohangaika baada ya kusaga roho za watoto wa watanganyika tume kama zote na hazisaidii! Endeeleni mtafika tu si tupo tutawasikiliza tu😅 dah! Aisee. Mimi kwa upande wangu nilimshauri akae kimya kabisaa ajifanye ni ya mme wake maana kama mawasiliano na mme wa mtu Hana Tena na hawezi kumsaidia chochote kile, na mume wake akijua sio mimba yake sizani kama atamuelewa kwaiyo avunge tu
Basi mimi? aya ngoja nikae kimya!🙁🙁🙁🙁
Sasa kama wanawake wenyewe ndio hawa...
WasameheweSasa kama wanawake wenyewe ndio hawa...