Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
Ahaa! Kumbe ni mtumzima. Angalia usije ukamfanya awachukie wanaume woteNimemaliza chuo mwaka jana mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa! Kumbe ni mtumzima. Angalia usije ukamfanya awachukie wanaume woteNimemaliza chuo mwaka jana mkuu!
Tupo wengi mkuu,hata mm bado naishi nae!sema nlijifunza kumpenda na nina mpenda sikuhiziSafi sana dada. Na mm nina stori inayofana exactly na ya huyu jamaa. But mm nko nae tu. Ila maneno yako aya yamenitia faraja sanan
Ukweli mchungu yashanikuta hata ya mkataa pema jamaa namuonea huruma.Anza kupunguza ukaribu, uwe busy kila akikupigia wewe una kazi lakini ahidi kumtafuta ukiwa free, ikipita mwezi mmoja miwili ataelewa somo.
NB: the law of life your time will come, you will fall in love with a person who doesn’t have feelings for you. That’s the way it’s.
Kijana mhurumie binti wa watu na wewe amekuvumilia mengi mno, umekiri kabisa kuwa kakuzidi urefu pia kwa hiyo wewe ni andunje ila kakuvumilia tu, uwe na roho ya shukrani japo kwa kukuvumilia kwake ndugu yangu Andunje.
basi chukua ushauri uliopewa na Sky Eclat.Mimi sio andunje mkuu ni kwamba she have about 6.5 and i have 6 kamili so me sio andunje mkuu elewa [emoji28][emoji28]
Ukweli mchungu yashanikuta hata ya mkataa pema jamaa namuonea huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa namba yake ya simu ndo utajua kama unampenda au humpendii😀😀😀😀😀Habari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu..
LET NIENDE KWENYE MADA MOJA KWA MOJA..
Wakati nipo chuo nilibahatika kupata mpenzi ambae kiukwel nilimtongoza kwa kujaribu tu lakini chakushangaza ni kwamba akanikubalia tu bila kujua sikua serious... nikaona isiwetabu nikawa nae kwenye mahusiano mpaka wakati huu naandika hii thread ndo mpenzi wangu actually pamoja na kwamba michepuko ipo lakini yeye ndo amekua currently kwa sababu
1)Hajawahi kuniomba pesa ingawa me ndo nikiwa nakipengele nikimwambia nashida na pesa huwa ananipa bila kinyongo_
......'
Nimewahi kupata mwanamke wa aina hiyo mkuu alinipenda kupitiliza na alikua mzuri tu lakini kumtongoza ilitokana na ubishani haikua dhamira yangu, washkaji walisema simuwezi nikafanya kweli.Unamaana gani mkuu??
Ingawa michepuko mkuu imekua ngumu kuachana naoTupo wengi mkuu,hata mm bado naishi nae!sema nlijifunza kumpenda na nina mpenda sikuhizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewahi kupata mwanamke wa aina hiyo mkuu alinipenda kupitiliza na alikua mzuri tu lakini kumtongoza ilitokana na ubishani haikua dhamira yangu, washkaji walisema simuwezi nikafanya kweli.
Basi bana nikawa simpendi kivile tukakaa mwaka na zaidi mtoto upendo haupungui akaja kunifuma na demu mwingine room akanisamehe kwamba hata wakiwa 10 as long na yeye nampa mda wa kuwa na mimi alikua okay na hilo just imagine??.
Badae nikamuacha alikonda sana akaumwa sana and i didn't care shepu ikaisha yani nikatafutwa na ndugu zake maana ilikua ishu kubwa sana. Nikapata mtoto mkali sana nikampenda sana sijawahi kupenda hivyo maisha yangu yote nikaona hapa ndo penyewe, tukaenda kama miezi 8 siku moja nikamuona na mwanaume nikaja kumuuliza nilikuona na jamaa ni nani aisee alinijibu bila aibu eti my Boyfriend.
Nikaja kujuana na huyo jamaa asee niliumia sana ilichukua 4years kumsahau yule dada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rubbish at its best. Upuuzi mtupu.Mkuu usipate tabu nipe mimi uyo mwanamke nimchukue mazima, cha kufanya nipm tu namba yake mengine niachie mimi. Na ninakuhakikishia ndani ya siku mbili atakuja kukuacha yeye mwenyewe. Sijisifii ila kwenye sekta ya kutongoza wanawake nipo vizuri sana natongoza mpaka mwanamke analia, kamasi zinatoka akitoka hapo anaenda chooni kuharisha.
"Typed with my thumbs."
soon atashika mimbaHabari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu..
LET NIENDE KWENYE MADA MOJA KWA MOJA..
Wakati nipo chuo nilibahatika kupata mpenzi ambae kiukwel nilimtongoza kwa kujaribu tu lakini chakushangaza ni kwamba akanikubalia tu bila kujua sikua serious... nikaona isiwetabu nikawa nae kwenye mahusiano mpaka wakati huu naandika hii thread ndo mpenzi wangu actually pamoja na kwamba michepuko ipo lakini yeye ndo amekua currently kwa sababu
1)Hajawahi kuniomba pesa ingawa me ndo nikiwa nakipengele nikimwambia nashida na pesa huwa ananipa bila kinyongo_
2)Hana michepuko hii ni kwasababu naweza kukaa nasimu yake hata siku 3 na nisigundue chochote licha ya yeye kukuta sana sms za michepuko kwenye simu yangu_
3)She care about me
yani nikimwambia siko poa au naumwa yupo tayari kuacha kazi zake zote nakuja kunihudumia
4)Ni mtam yani papuchi ake hua ananipa muda wowote kiukwel hua naenjoy sana mapenzi yke
SHIDA NI NINI_
Shida ni kwamba pamoja na hayo yote ni kwamba nafsi yangu haijaridhia na wala sidhani kama naweza kumuoa yeye... Yani am sure ananipenda sana but kwa kweli cfikilii kumuoa yeye kabisa
SABABU NI NINI_
Sababu ni kwamba amenizidi umri, chapili ni kwamba amenizidi urefu kitu ambacho sijakipenda kwa kweli
chatatu ni kwamba simpendi tu alivyo...
So nimekua nikiwaza sana jinsi ya kumuacha' yan namuonea sana huruma kwa kua yeye anafikili me ndo mwanaume wake wa maisha' kitu ambacho hakipo kabisa kwenye akili yngu...
Naombeni ushauli ndugu zangu' nitumie mbinu gani kumuacha huyu bidada mana kwa umli wake sasa hivi anahitaji ndoa~~ while binafsi kuoa sio leo wala kesho,, na hata nikitaka kuoa siwezi kumuoa yeye'
Sasa wewe unataka nini? mbona hueleweki?Pia hicho kitu nawaza sana mkuu! madem wa sasa hivi %kubwa wapo kimaslahi mno nahofia kutompata kama huyu ambaye ntampenda.
Acha kuchezea hisia za watu.Habari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu..