ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Si unaujua ujana bwana...Ha ha ha....uliliza wengi kuumbe[emoji4], basi nikuhakikishie siku yako yaja
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unaujua ujana bwana...Ha ha ha....uliliza wengi kuumbe[emoji4], basi nikuhakikishie siku yako yaja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli we ni jipuMkuu usipate tabu nipe mimi uyo mwanamke nimchukue mazima, cha kufanya nipm tu namba yake mengine niachie mimi. Na ninakuhakikishia ndani ya siku mbili atakuja kukuacha yeye mwenyewe. Sijisifii ila kwenye sekta ya kutongoza wanawake nipo vizuri sana natongoza mpaka mwanamke analia, kamasi zinatoka akitoka hapo anaenda chooni kuharisha.
"Typed with my thumbs."
Hahaa hapana..hata chaputa sitaki kuingiaKwaiyo tukupe kadi ya umember wa chama chetu cha CHAPUTA
hahaha sasa zikipanda huwa anazimaliza nani mkuu
Tuko pamoja
Make up your mind utakuwa nae au unamuacha? Ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni.
Kwenye ndoa za amani na furaha ni umpate mwanamke anaekupenda. Atayavumilia mapungufu yako yote, iwe pesa, tendo la ndoa au kunuka mdomo.
Wengi wanaishi navwanawake wasiowapenda lakini wamewazoea kwakuwa mke anampenda kufa.
Fikiria mmegombana hamuongei ndani ya nyumba lakini amesikia mama yako ni mgonjwa amekimbia na kumuwahisha hospitali. Anamnunulia night dress mpya na vitenge, mswaki, lotion . Ukienda kumuona mama yako mwenyewe roho inaridhika ingawa ni mgonjwa lakini ni msafi.
Girl friend tafuta mzuri lakini tafuta mke anae kuelewa.
Karibia utagradyueti PhD ya kusamaraiz. Ngoja nikauze korosho nikuongezee ada...Anasema yupo katika mahusiano na mwanamke aliyemzidi umri
Anadai hafikirii kumuoa kwasababu mwanamke kamzidi umri na urefu
Mpe mbinu za kumuacha 🙂
Dogo hujielewi kwa kifupi ni hivyo,nahisi umri unaweza kuwa tatizo.Ushauri wako ni mzuri sana 🤦🏾♂️kiukwel she love me then ni mcheshi yan anajielewa marafiki zangu huniambia nikiachana nae cto pata kama huyo kitu ambacho ndo kinanifanya niwe mwoga kufanya maamuzj magumu 🤦🏾♂️ mana naweza mwacha aende but end of the day nikataka kurudi ikawa mtu ashachukua dodo [emoji200]
Trust me" what goes around comes around"...mimi mke wangu alikuwa kama mpenzi wako!nlikuwa simpendi,ila nlijifunza taratibu huku nikimlinganisha na wanawake wengine,kila waliponiumiza nlizidi kumpenda mke wangu!nowdays MAISHA NI MATAMU ASIKWAMBIE MTU MANGI.Dahh!! that's why nakua nahuruma mana am sure kinaweza nitokea pia huko mbele!!!
Kujiweka busy kutokupokea sim zake ndo cwez kabisa hio 🤦🏾♂️ labda nipoteze mawasiliano nae kabisa
lakini shida ni kwamba ana number ya simu ya mama angu mzazi na hua wanaongea sana tu japo hawajawahi kuonana.. Pia ana number za mdogo wangu__ kitu kingine ana number ya my best friend!!
Nami nimemshauri almost the same mkuu..!!Bwana kijeba mtoa mada!!!! Siku zote tamani sana kwenye maisha yako upate mtu atakaekupenda sana kuliko utakavyompenda wewe hapo kwakweli utaenjoy sana maisha ya mapenzi BUT ukipata tofauti yaan upate mwanamke utakae mpenda wewe sanaaaaa!! Basi tambua yatakayokuja kukukuta siku ukiachwa ni majuto lakini kwa vigezo ulivyoviweka havna mantiki yoyote na huyo mwanamke ni wife material kabisaaa kitu ambacho ni wanawake wachache walionavyo hasashasa uaminifu na ukitaka kujua huyo mwanamke yuko tofaut mwache afu upate mwngne utakaempenda then muombe simu yake ukae nayo hata masaaa tu kama hujafa!!!!! Ndipo utamkumbuka huyo ulomuacha na kipindi hicho utamkuta kashaolewa na ndoa yake na watt juuu. Period!!!!
Dogo hujielewi kwa kifupi ni hivyo,nahisi umri unaweza kuwa tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app