Franky
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 2,270
- 2,844
Hahaha mzee unatetemaMkuu usipate tabu nipe mimi uyo mwanamke nimchukue mazima, cha kufanya nipm tu namba yake mengine niachie mimi. Na ninakuhakikishia ndani ya siku mbili atakuja kukuacha yeye mwenyewe. Sijisifii ila kwenye sekta ya kutongoza wanawake nipo vizuri sana natongoza mpaka mwanamke analia, kamasi zinatoka akitoka hapo anaenda chooni kuharisha.
"Typed with my thumbs."
Sent using Jamii Forums mobile app