Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

Kijana mhurumie binti wa watu na wewe amekuvumilia mengi mno, umekiri kabisa kuwa kakuzidi urefu pia kwa hiyo wewe ni andunje ila kakuvumilia tu, uwe na roho ya shukrani japo kwa kukuvumilia kwake ndugu yangu Andunje.
 
Ukweli mchungu yashanikuta hata ya mkataa pema jamaa namuonea huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo siku utakuja na uzi usemao "Dawa ya kumrudisha mpenzi aliepotea" mark my words bwa mdgo
 
Kijana mhurumie binti wa watu na wewe amekuvumilia mengi mno, umekiri kabisa kuwa kakuzidi urefu pia kwa hiyo wewe ni andunje ila kakuvumilia tu, uwe na roho ya shukrani japo kwa kukuvumilia kwake ndugu yangu Andunje.

Mimi sio andunje mkuu ni kwamba she have about 6.5 and i have 6 kamili so me sio andunje mkuu elewa [emoji28][emoji28]
 
Toa namba yake ya simu ndo utajua kama unampenda au humpendii😀😀😀😀😀
 
Unamaana gani mkuu??
Nimewahi kupata mwanamke wa aina hiyo mkuu alinipenda kupitiliza na alikua mzuri tu lakini kumtongoza ilitokana na ubishani haikua dhamira yangu, washkaji walisema simuwezi nikafanya kweli.

Basi bana nikawa simpendi kivile tukakaa mwaka na zaidi mtoto upendo haupungui akaja kunifuma na demu mwingine room akanisamehe kwamba hata wakiwa 10 as long na yeye nampa mda wa kuwa na mimi alikua okay na hilo just imagine??.
Badae nikamuacha alikonda sana akaumwa sana and i didn't care shepu ikaisha yani nikatafutwa na ndugu zake maana ilikua ishu kubwa sana. Nikapata mtoto mkali sana nikampenda sana sijawahi kupenda hivyo maisha yangu yote nikaona hapa ndo penyewe, tukaenda kama miezi 8 siku moja nikamuona na mwanaume nikaja kumuuliza nilikuona na jamaa ni nani aisee alinijibu bila aibu eti my Boyfriend.
Nikaja kujuana na huyo jamaa asee niliumia sana ilichukua 4years kumsahau yule dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

ndo ulikoma 🙂
 
Rubbish at its best. Upuuzi mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kata mAwasiliano usiendekeze kula hela yake.Kama yamekwisha yamekwisha, Kama huwezi kumwambia hata kwa simu.mpotezeee tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
soon atashika mimba
 
Acha kuchezea hisia za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…