Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

Muoe haraka kabla ya saa kumi na moja ,unaowapenda utawafanya michepuko Kaka
 
Tabu ni pale utakapomuacha ukaenda kuangukia pua ukaja kukumbuka shuka asbh

Be Humble is free of charge [emoji873]
 
Yaani akuachie wewe utongoze ule mzigo au unataka wife kabisa..be serious msichezee maisha ya watu wengine,we live once and every human anahitaji good treatment and to be loved.Ila mjamaa anayetaka kumuacha akifanikiwa kumuacha naye atakuja kula za uso mbele ya safari.
Karma is a bi..ch.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km ulivyopata ujasiri wa kumtongoza na ndio hivyo hivyo unapaswa kukaa nae chini na kumweleza ukweli kwamba hauko tayari kumuoa full stop mwanzo atabisha ila baadae atakubaliana na ukweli,una sababu ya kuogopa kumweleza km kweli hupendi kumpotezea muda wake.
 
Chief unataka nini tena hapo???
Utaujua umuhim wake endapo atakua yupo na mwengine....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Totally correct

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hapa unatafuta justification ya kukamilisha maamuzi yako ya kitoto.
 
Uzuri ni kwamba, pale Mungu anapokupa anayekufaa ukamwona hafai basi hukupa unayemtaka ww ila utakachokipata ni siri yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiishi na mtu usiye mpenda kisa kumhurumia ishi na mtu unayempenda uta enjoy wengi walijidaganya watampenda ndoani matokeo yao wanachepuka daily. Kama roho yako haijisikii amani juu yake mwache kitaratibu kwa kupunguza mazoea. Follow ur heart and ur intuition utafanikiwa ila ukijifanya.kuona huruma na humpendi utapata shida. Kosa lako ni kutokuwa mkweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…