Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

Hahaha mzee unatetema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa hujielewi sana Aisee immature comment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada umemaliza yote asipokuelewa..tumuache karma imkule
 
Pumba.vu
 
Sikiliza wimbo wa LINEX ft LADY JAYDEE,TOO LATE
huu wimbo unamebeba ujumbe wa jana yako,leo yako na kesho yako.
 
Hujaamua tu, wakwangu alipoamua alikuwa busy busy. Kwakuwa na mimi niko busy ilipita miezi mitatu sijamuona lakini tunaongea. Christmas na New Year nilikuwa na vi holiday kazini nikapanga plans niwe na mupenzi ndipo nilipojua he was long gone.
Karma ilimrudia huyo mpenzi wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Sababu ni kwamba amenizidi umri, chapili ni kwamba amenizidi urefu kitu ambacho sijakipenda kwa kweli
chatatu ni kwamba simpendi tu alivyo..."


Hakuna cha kukushauri hapo... naweza sema tu akili yako haina akili...


Cc: mahondaw
 
Exactly.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliumizwa kwa mtindo huo wa kupenda bila kujua kwamba naye ananipenda au ana malengo na mimi... alivyokata mawasiliano baada ya kwenda chuo Adem Bagamoyo nililia mpaka leo nikimkumbuka naumia sana yule mwanamke ni katili sana...

[emoji2363][emoji2363][emoji2363][emoji2363] Namuonea huruma huyo unaetaka kumbwaga maana ukijipa asilimia kubwa kwa mtu akakuacha kifo unakiona...
Sikuwahi kuamini kuwa kidume naeza lia vile so naimagine huyo dada ataishije...
Apate mtu wa kumcomfort before you go..
Otherwise atakua na jeraha kubwa sana naona unasmile kwenye comments unavyoreply but this sht ain't funny anymore..
[emoji2363][emoji2363][emoji2363][emoji2363]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifanikisha hili unaweza pata funzo zuri hapo baadae,huu ndo uanaume bro! Tena ukitaka ufanikiwe zaidi siku kutana nae mtumie mara ya mwisho kisha mpe ukweli huo....usisahau tu "karma is bitch"
 
Ila kwenye mapenzi upendo huja mbeleni...angalia zama za mababu zetu sijui waliwezaje lakini ndoa zao nyingi sana zilidumu...be brave enough to choose in between...umri ni namba tu elimradi yuko tayari kushirikiana hasa kwenye yale uyatakayo na kuwa wa mrengo wako..usiitupe lulu barabarani ukadhani utaokota dhahabu chumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…