Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

Habari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu..

LET NIENDE KWENYE MADA MOJA KWA MOJA..

Wakati nipo chuo nilibahatika kupata mpenzi ambae kiukwel nilimtongoza kwa kujaribu tu lakini chakushangaza ni kwamba akanikubalia tu bila kujua sikua serious... nikaona isiwetabu nikawa nae kwenye mahusiano mpaka wakati huu naandika hii thread ndo mpenzi wangu actually pamoja na kwamba michepuko ipo lakini yeye ndo amekua currently kwa sababu
1)Hajawahi kuniomba pesa ingawa me ndo nikiwa nakipengele nikimwambia nashida na pesa huwa ananipa bila kinyongo_

2)Hana michepuko hii ni kwasababu naweza kukaa nasimu yake hata siku 3 na nisigundue chochote licha ya yeye kukuta sana sms za michepuko kwenye simu yangu_

3)She care about me
yani nikimwambia siko poa au naumwa yupo tayari kuacha kazi zake zote nakuja kunihudumia

4)Ni mtam yani papuchi ake hua ananipa muda wowote kiukwel hua naenjoy sana mapenzi yke

SHIDA NI NINI_

Shida ni kwamba pamoja na hayo yote ni kwamba nafsi yangu haijaridhia na wala sidhani kama naweza kumuoa yeye... Yani am sure ananipenda sana but kwa kweli cfikilii kumuoa yeye kabisa

SABABU NI NINI_

Sababu ni kwamba amenizidi umri, chapili ni kwamba amenizidi urefu kitu ambacho sijakipenda kwa kweli
chatatu ni kwamba simpendi tu alivyo...

So nimekua nikiwaza sana jinsi ya kumuacha' yan namuonea sana huruma kwa kua yeye anafikili me ndo mwanaume wake wa maisha' kitu ambacho hakipo kabisa kwenye akili yngu...

Naombeni ushauli ndugu zangu' nitumie mbinu gani kumuacha huyu bidada mana kwa umli wake sasa hivi anahitaji ndoa~~ while binafsi kuoa sio leo wala kesho,, na hata nikitaka kuoa siwezi kumuoa yeye'
Kumbe tunapitia wengi hii hali,, nimejikuta nacheka mwenyewe,, maana kila nikijarbu kufanya visa mwenzangu yuko positive tuh na wala hachukii nabak kuwaza tuh nafanyaje, nafikiria hadi kuhama mji nikakae mbali alafu nikirudi hakutokuwa na penzi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Make up your mind utakuwa nae au unamuacha? Ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni.

Kwenye ndoa za amani na furaha ni umpate mwanamke anaekupenda. Atayavumilia mapungufu yako yote, iwe pesa, tendo la ndoa au kunuka mdomo.

Wengi wanaishi navwanawake wasiowapenda lakini wamewazoea kwakuwa mke anampenda kufa.

Fikiria mmegombana hamuongei ndani ya nyumba lakini amesikia mama yako ni mgonjwa amekimbia na kumuwahisha hospitali. Anamnunulia night dress mpya na vitenge, mswaki, lotion . Ukienda kumuona mama yako mwenyewe roho inaridhika ingawa ni mgonjwa lakini ni msafi.

Girl friend tafuta mzuri lakini tafuta mke anae kuelewa.
Safi sana dada. Na mm nina stori inayofana exactly na ya huyu jamaa. But mm nko nae tu. Ila maneno yako aya yamenitia faraja sanan
 
Kumbe tunapitia wengi hii hali,, nimejikuta nacheka mwenyewe,, maana kila nikijarbu kufanya visa mwenzangu yuko positive tuh na wala hachukii nabak kuwaza tuh nafanyaje, nafikiria hadi kuhama mji nikakae mbali alafu nikirudi hakutokuwa na penzi tena

Sent using Jamii Forums mobile app

Iko ivo mkuu yan unashindwa kujua unamwachaje mana kumwacha kwa sababu za uongo pia ngumu*

Ni kili tu kwamba mwanamke nikiwa cjampenda hua nakua kama mbogo baada tu ya kumgegeda. Ila kwa huyo kazi ya uachaji imekua ngumu aisee!!!
 
Shida kama hii nishawahi kuipata,ilinichukua miaka 4 kuitatua,
Ni hivi niligundua mwanamke akikupenda anapenda kweli& she will be ready 2 sacrifice anything for u.
Na wewe ukimpenda mwanamke mwingine uwe tayari kumfanyie lolote ili aridhike.
Kigezo cha umri sio ishu ..kikubwa angalia upendo wake kwako.
Mwisho:Tafadhali oa huyo mwanamke anastahili kuwa mkeo!!
Habari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu..

LET NIENDE KWENYE MADA MOJA KWA MOJA..

Wakati nipo chuo nilibahatika kupata mpenzi ambae kiukwel nilimtongoza kwa kujaribu tu lakini chakushangaza ni kwamba akanikubalia tu bila kujua sikua serious... nikaona isiwetabu nikawa nae kwenye mahusiano mpaka wakati huu naandika hii thread ndo mpenzi wangu actually pamoja na kwamba michepuko ipo lakini yeye ndo amekua currently kwa sababu
1)Hajawahi kuniomba pesa ingawa me ndo nikiwa nakipengele nikimwambia nashida na pesa huwa ananipa bila kinyongo_

2)Hana michepuko hii ni kwasababu naweza kukaa nasimu yake hata siku 3 na nisigundue chochote licha ya yeye kukuta sana sms za michepuko kwenye simu yangu_

3)She care about me
yani nikimwambia siko poa au naumwa yupo tayari kuacha kazi zake zote nakuja kunihudumia

4)Ni mtam yani papuchi ake hua ananipa muda wowote kiukwel hua naenjoy sana mapenzi yke

SHIDA NI NINI_

Shida ni kwamba pamoja na hayo yote ni kwamba nafsi yangu haijaridhia na wala sidhani kama naweza kumuoa yeye... Yani am sure ananipenda sana but kwa kweli cfikilii kumuoa yeye kabisa

SABABU NI NINI_

Sababu ni kwamba amenizidi umri, chapili ni kwamba amenizidi urefu kitu ambacho sijakipenda kwa kweli
chatatu ni kwamba simpendi tu alivyo...

So nimekua nikiwaza sana jinsi ya kumuacha' yan namuonea sana huruma kwa kua yeye anafikili me ndo mwanaume wake wa maisha' kitu ambacho hakipo kabisa kwenye akili yngu...

Naombeni ushauli ndugu zangu' nitumie mbinu gani kumuacha huyu bidada mana kwa umli wake sasa hivi anahitaji ndoa~~ while binafsi kuoa sio leo wala kesho,, na hata nikitaka kuoa siwezi kumuoa yeye'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida kama hii nishawahi kuipata,ilinichukua miaka 4 kuitatua,
Ni hivi niligundua mwanamke akikupenda anapenda kweli& she will be ready 2 sacrifice anything for u.
Na wewe ukimpenda mwanamke mwingine uwe tayari kumfanyie lolote ili aridhike.
Kigezo cha umri sio ishu ..kikubwa angalia upendo wake kwako.
Mwisho:Tafadhali oa huyo mwanamke anastahili kuwa mkeo!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa mkuu ila niambie ww ulitatuaje hio shida mkuu [emoji4]
 
Binafsi sidhani kama umri ni kikwazo kama mtu mnapendana kweli,kwa jinsi anavyojitoa kwako ukimfanyia kitu kibaya unaweza usiweze pata furaha kwenye hayo maisha mapya unayotaka kwenda.Busara itumike!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"A man living off the earnings or gifts of a woman, especially a younger man supported by an older woman in return for his sexual attentions and companionship"

oww okay thank you
 
Habari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu..

LET NIENDE KWENYE MADA MOJA KWA MOJA..

Wakati nipo chuo nilibahatika kupata mpenzi ambae kiukwel nilimtongoza kwa kujaribu tu lakini chakushangaza ni kwamba akanikubalia tu bila kujua sikua serious... nikaona isiwetabu nikawa nae kwenye mahusiano mpaka wakati huu naandika hii thread ndo mpenzi wangu actually pamoja na kwamba michepuko ipo lakini yeye ndo amekua currently kwa sababu
1)Hajawahi kuniomba pesa ingawa me ndo nikiwa nakipengele nikimwambia nashida na pesa huwa ananipa bila kinyongo_

2)Hana michepuko hii ni kwasababu naweza kukaa nasimu yake hata siku 3 na nisigundue chochote licha ya yeye kukuta sana sms za michepuko kwenye simu yangu_

3)She care about me
yani nikimwambia siko poa au naumwa yupo tayari kuacha kazi zake zote nakuja kunihudumia

4)Ni mtam yani papuchi ake hua ananipa muda wowote kiukwel hua naenjoy sana mapenzi yke

SHIDA NI NINI_

Shida ni kwamba pamoja na hayo yote ni kwamba nafsi yangu haijaridhia na wala sidhani kama naweza kumuoa yeye... Yani am sure ananipenda sana but kwa kweli cfikilii kumuoa yeye kabisa

SABABU NI NINI_

Sababu ni kwamba amenizidi umri, chapili ni kwamba amenizidi urefu kitu ambacho sijakipenda kwa kweli
chatatu ni kwamba simpendi tu alivyo...

So nimekua nikiwaza sana jinsi ya kumuacha' yan namuonea sana huruma kwa kua yeye anafikili me ndo mwanaume wake wa maisha' kitu ambacho hakipo kabisa kwenye akili yngu...

Naombeni ushauli ndugu zangu' nitumie mbinu gani kumuacha huyu bidada mana kwa umli wake sasa hivi anahitaji ndoa~~ while binafsi kuoa sio leo wala kesho,, na hata nikitaka kuoa siwezi kumuoa yeye'
Hongera kwa kutumia masabuli kwa ajili kufikili

Mkuu kama ni kweli umeamua kumuacha fanya hivi ni PM namba yake nitakchofanya nitamwambia ukweli wote kisha nitamwambia akufatilie condition fulani ambayo tutakuwa tumeshaongea kuwa utaifanya ili yeye approve kuwa kweli huna mpango naye kisha tutaangalaia anaamuaje.

Why nakwambia hivi?

Nitakwambia PM kabla ya kunipa hiyo namba

Nb
Sina mpango wa kutake advantage sina mpango wa mahusiano for now. Ila naona unampotezea muda huyo dada wakati hautaishi naye...mwache atapata mwingine kama umeshindwa kumwambia fanya kama hapo juu

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Shida kama hii nishawahi kuipata,ilinichukua miaka 4 kuitatua,
Ni hivi niligundua mwanamke akikupenda anapenda kweli& she will be ready 2 sacrifice anything for u.
Na wewe ukimpenda mwanamke mwingine uwe tayari kumfanyie lolote ili aridhike.
Kigezo cha umri sio ishu ..kikubwa angalia upendo wake kwako.
Mwisho:Tafadhali oa huyo mwanamke anastahili kuwa mkeo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi huwa zinatokea sana the matter is how one solves it. Mwenzetu ameshindwa hii ndiyo maana tupo hapa. Nimempa wazo hapo nafkri atafanyia kazi

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Ushauri no 1:
Kuna jamaa alikuwa na ng'ombe wake alikuwa anampeleka mnadani, akiwa njiani alitokea mteja akataka kumnunua kwa laki tatu jamaa akagoma, akatokea wa pili akataka kumnunua kwa laki mbili na 80 jamaa akagoma, lengo lake ni kumuuza kwa laki tano. Alipofika mnadani akajikuta hata kumpata mteja wa laki mbili ikashindikana na akamuuza ng'ombe kwa laki moja na 70.

Ushauri no 2
Oa mwanamke anayekupenda na si unayempenda, kwa kuwa ukioa mwanamke unayempenda ni ngumu kutambua reflection ya upendo wake kwako, kwani +ve na +ve unajua kinachotokea.
Like charges repel each other - kiswahili chake sijui.

Ushauri no 3.
Oa mwanamke mwenye akili na ni vema mwanamke akaolewa na mwanaume mwenye akili kwa kuwa upendo ukizidi hupunguza kiwango cha kufikiri.

NB: love is not static. Pia hiyo ni hali ya kawaida sana kwa wanaune waliooa nafikiri wameshakutana na kipindi kigumu kama hicho, just inatokea tu unaona kama hakuwa chaguo lako na ikitokea ukakosa msimamo unajikuta unafanya maamuzi ya ajabu ambayo matokeo yake unakuja kuyaona baadaye.
 
Bwana kijeba mtoa mada!!!! Siku zote tamani sana kwenye maisha yako upate mtu atakaekupenda sana kuliko utakavyompenda wewe hapo kwakweli utaenjoy sana maisha ya mapenzi BUT ukipata tofauti yaan upate mwanamke utakae mpenda wewe sanaaaaa!! Basi tambua yatakayokuja kukukuta siku ukiachwa ni majuto lakini kwa vigezo ulivyoviweka havna mantiki yoyote na huyo mwanamke ni wife material kabisaaa kitu ambacho ni wanawake wachache walionavyo hasashasa uaminifu na ukitaka kujua huyo mwanamke yuko tofaut mwache afu upate mwngne utakaempenda then muombe simu yake ukae nayo hata masaaa tu kama hujafa!!!!! Ndipo utamkumbuka huyo ulomuacha na kipindi hicho utamkuta kashaolewa na ndoa yake na watt juuu. Period!!!!
 
Dah! Inauma sana, Mungu ni mwema wakati wote, utajutia maamuzi,kama ni kwel,i jitahidi umupende na umuoe,, eti ulikuwa unamujaribu ! dunia ndogo sana hii, fikiria tena upya, ooh! ,tutakushauri Nini ! Hata Uone Tunakupenda ?
 
Back
Top Bottom