edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu..
LET NIENDE KWENYE MADA MOJA KWA MOJA..
Wakati nipo chuo nilibahatika kupata mpenzi ambae kiukwel nilimtongoza kwa kujaribu tu lakini chakushangaza ni kwamba akanikubalia tu bila kujua sikua serious... nikaona isiwetabu nikawa nae kwenye mahusiano mpaka wakati huu naandika hii thread ndo mpenzi wangu actually pamoja na kwamba michepuko ipo lakini yeye ndo amekua currently kwa sababu
1)Hajawahi kuniomba pesa ingawa me ndo nikiwa nakipengele nikimwambia nashida na pesa huwa ananipa bila kinyongo_
2)Hana michepuko hii ni kwasababu naweza kukaa nasimu yake hata siku 3 na nisigundue chochote licha ya yeye kukuta sana sms za michepuko kwenye simu yangu_
3)She care about me
yani nikimwambia siko poa au naumwa yupo tayari kuacha kazi zake zote nakuja kunihudumia
4)Ni mtam yani papuchi ake hua ananipa muda wowote kiukwel hua naenjoy sana mapenzi yke
SHIDA NI NINI_
Shida ni kwamba pamoja na hayo yote ni kwamba nafsi yangu haijaridhia na wala sidhani kama naweza kumuoa yeye... Yani am sure ananipenda sana but kwa kweli cfikilii kumuoa yeye kabisa
SABABU NI NINI_
Sababu ni kwamba amenizidi umri, chapili ni kwamba amenizidi urefu kitu ambacho sijakipenda kwa kweli
chatatu ni kwamba simpendi tu alivyo...
So nimekua nikiwaza sana jinsi ya kumuacha' yan namuonea sana huruma kwa kua yeye anafikili me ndo mwanaume wake wa maisha' kitu ambacho hakipo kabisa kwenye akili yngu...
Naombeni ushauli ndugu zangu' nitumie mbinu gani kumuacha huyu bidada mana kwa umli wake sasa hivi anahitaji ndoa~~ while binafsi kuoa sio leo wala kesho,, na hata nikitaka kuoa siwezi kumuoa yeye'
Umemshauri vzr snaMake up your mind utakuwa nae au unamuacha? Ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni.
Kwenye ndoa za amani na furaha ni umpate mwanamke anaekupenda. Atayavumilia mapungufu yako yote, iwe pesa, tendo la ndoa au kunuka mdomo.
Wengi wanaishi navwanawake wasiowapenda lakini wamewazoea kwakuwa mke anampenda kufa.
Fikiria mmegombana hamuongei ndani ya nyumba lakini amesikia mama yako ni mgonjwa amekimbia na kumuwahisha hospitali. Anamnunulia night dress mpya na vitenge, mswaki, lotion . Ukienda kumuona mama yako mwenyewe roho inaridhika ingawa ni mgonjwa lakini ni msafi.
Girl friend tafuta mzuri lakini tafuta mke anae kuelewa.
Mkuu ulisoma chuo gani?Habari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu..
LET NIENDE KWENYE MADA MOJA KWA MOJA..
Wakati nipo chuo nilibahatika kupata mpenzi ambae kiukwel nilimtongoza kwa kujaribu tu lakini chakushangaza ni kwamba akanikubalia tu bila kujua sikua serious... nikaona isiwetabu nikawa nae kwenye mahusiano mpaka wakati huu naandika hii thread ndo mpenzi wangu actually pamoja na kwamba michepuko ipo lakini yeye ndo amekua currently kwa sababu
1)Hajawahi kuniomba pesa ingawa me ndo nikiwa nakipengele nikimwambia nashida na pesa huwa ananipa bila kinyongo_
2)Hana michepuko hii ni kwasababu naweza kukaa nasimu yake hata siku 3 na nisigundue chochote licha ya yeye kukuta sana sms za michepuko kwenye simu yangu_
3)She care about me
yani nikimwambia siko poa au naumwa yupo tayari kuacha kazi zake zote nakuja kunihudumia
4)Ni mtam yani papuchi ake hua ananipa muda wowote kiukwel hua naenjoy sana mapenzi yke
SHIDA NI NINI_
Shida ni kwamba pamoja na hayo yote ni kwamba nafsi yangu haijaridhia na wala sidhani kama naweza kumuoa yeye... Yani am sure ananipenda sana but kwa kweli cfikilii kumuoa yeye kabisa
SABABU NI NINI_
Sababu ni kwamba amenizidi umri, chapili ni kwamba amenizidi urefu kitu ambacho sijakipenda kwa kweli
chatatu ni kwamba simpendi tu alivyo...
So nimekua nikiwaza sana jinsi ya kumuacha' yan namuonea sana huruma kwa kua yeye anafikili me ndo mwanaume wake wa maisha' kitu ambacho hakipo kabisa kwenye akili yngu...
Naombeni ushauli ndugu zangu' nitumie mbinu gani kumuacha huyu bidada mana kwa umli wake sasa hivi anahitaji ndoa~~ while binafsi kuoa sio leo wala kesho,, na hata nikitaka kuoa siwezi kumuoa yeye'
Ushauri wako ni mzuri sana [emoji2365]kiukwel she love me then ni mcheshi yan anajielewa marafiki zangu huniambia nikiachana nae cto pata kama huyo kitu ambacho ndo kinanifanya niwe mwoga kufanya maamuzj magumu [emoji2365] mana naweza mwacha aende but end of the day nikataka kurudi ikawa mtu ashachukua dodo [emoji200]
Kabla hujamuacha hebu nipe mawasiliano yake ili nimsaidie akuache wew kabla hujamuacha,na atafurahi sana kukuacha we nipeHabari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu..
LET NIENDE KWENYE MADA MOJA KWA MOJA..
Wakati nipo chuo nilibahatika kupata mpenzi ambae kiukwel nilimtongoza kwa kujaribu tu lakini chakushangaza ni kwamba akanikubalia tu bila kujua sikua serious... nikaona isiwetabu nikawa nae kwenye mahusiano mpaka wakati huu naandika hii thread ndo mpenzi wangu actually pamoja na kwamba michepuko ipo lakini yeye ndo amekua currently kwa sababu
1)Hajawahi kuniomba pesa ingawa me ndo nikiwa nakipengele nikimwambia nashida na pesa huwa ananipa bila kinyongo_
2)Hana michepuko hii ni kwasababu naweza kukaa nasimu yake hata siku 3 na nisigundue chochote licha ya yeye kukuta sana sms za michepuko kwenye simu yangu_
3)She care about me
yani nikimwambia siko poa au naumwa yupo tayari kuacha kazi zake zote nakuja kunihudumia
4)Ni mtam yani papuchi ake hua ananipa muda wowote kiukwel hua naenjoy sana mapenzi yke
SHIDA NI NINI_
Shida ni kwamba pamoja na hayo yote ni kwamba nafsi yangu haijaridhia na wala sidhani kama naweza kumuoa yeye... Yani am sure ananipenda sana but kwa kweli cfikilii kumuoa yeye kabisa
SABABU NI NINI_
Sababu ni kwamba amenizidi umri, chapili ni kwamba amenizidi urefu kitu ambacho sijakipenda kwa kweli
chatatu ni kwamba simpendi tu alivyo...
So nimekua nikiwaza sana jinsi ya kumuacha' yan namuonea sana huruma kwa kua yeye anafikili me ndo mwanaume wake wa maisha' kitu ambacho hakipo kabisa kwenye akili yngu...
Naombeni ushauli ndugu zangu' nitumie mbinu gani kumuacha huyu bidada mana kwa umli wake sasa hivi anahitaji ndoa~~ while binafsi kuoa sio leo wala kesho,, na hata nikitaka kuoa siwezi kumuoa yeye'
kweli wew ni jipu😀😀Mkuu usipate tabu nipe mimi uyo mwanamke nimchukue mazima, cha kufanya nipm tu namba yake mengine niachie mimi. Na ninakuhakikishia ndani ya siku mbili atakuja kukuacha yeye mwenyewe. Sijisifii ila kwenye sekta ya kutongoza wanawake nipo vizuri sana natongoza mpaka mwanamke analia, kamasi zinatoka akitoka hapo anaenda chooni kuharisha.
"Typed with my thumbs."
Haya madini unayotema humu dada sky jamaa alikuacha kwa sababu zipi hasa? Dah!!Hujaamua tu, wakwangu alipoamua alikuwa busy busy. Kwakuwa na mimi niko busy ilipita miezi mitatu sijamuona lakini tunaongea. Christmas na New Year nilikuwa na vi holiday kazini nikapanga plans niwe na mupenzi ndipo nilipojua he was long gone.
SIO KWAMBA HAMPENDI ANAMPENDA SANA ILA ANAMAWAZO HASI,KWANZA UKITAKA KUMWACHA MTU HUWEZI KUFIKIRIA KAMA ATAUMIA KWANI HUTAKUWA NA HAJA NAE,SANASANA UTASEMA ATAJUANA NA MAMA YAKE.UKIMWACHA HUTATAFUTA WA KUFANANA NAE JAPO TABIA ILI UONE KAMA HUJAPUNGUKIWA KITU.UNAOGOPA KUMWACHA AENDE KWA SABABU AMBAZO HAZINA MASHIKO.MOYO WAKO UNAOGOP KUMWCHILIA MTU HUYO JAPO UNAJIPA MOYO HUMTAKI